Matumizi ya mafuta kwenye Toyota harrier 3.0L (2990CC)

muuza ubuyu

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Messages
2,890
Points
2,000

muuza ubuyu

JF-Expert Member
Joined Nov 23, 2010
2,890 2,000
Habari za mapumziko waungwana! Ningependa kujua utumiaji wa mafuta wa gari tajwa hapo juu, Toyota harrier! Najua watu wanaiponda sana katika utumiaji wake kwa sababu ya ukubwa wa injini! Sasa kutoka kwa wataalamu, mafundi na wazoefu wanipatie figure halisi ya utumiaji mafuta wa gari hili hasa nje ya miji yaani km ngapi kwa lita moja ya mafuta!

Nishawahi kuwa na gari yenye cc2500 ilikuwa natumia wastani wa 10km/Litre. Mie siishi miji mikubwa kama Dar ila pia mazingira yangu yananihitaji kusafiri kwenda mbali in a limited time na pia nahitaji a comfortable car ndo maana nika-opt toyota harrier 3.0L.

Je, consumption yake ipo below 8km/L?

Please nahitaji mzoefu wa gari hili anipe maelezo mazuri na ya kina!

Thanks.

Cc LEGE ilonga
 
muuza ubuyu

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Messages
2,890
Points
2,000

muuza ubuyu

JF-Expert Member
Joined Nov 23, 2010
2,890 2,000
Sijui kuhusu Harrier ila nina uzoefu wa gari nyingine yenye injini kama hiyo. Highway inafikisha 10Km/L bila shaka na power yake inafurahisha. Ila mjini ndio hutakiwi kuwa na misele mingi kama mambo yako sio safi sana.
Thanks mkuu, mie si mpenzi wa mjini sana mkuu na mjini sipapendi sana maisha ya mbanano na foleni! Ila huwa nakuja mara chache chache kuosha macho !

Power ya injini hizo nazipenda sana, ngoja wajuvi wa harrier waje!!
 
ishiveti

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Messages
1,027
Points
1,500

ishiveti

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2015
1,027 1,500
HI
Habari za mapumziko waungwana! Ningependa kujua utumiaji wa mafuta wa gari tajwa hapo juu, Toyota harrier! Najua watu wanaiponda sana katika utumiaji wake kwa sababu ya ukubwa wa injini! Sasa kutoka kwa wataalamu, mafundi na wazoefu wanipatie figure halisi ya utumiaji mafuta wa gari hili hasa nje ya miji yaani km ngapi kwa lita moja ya mafuta!
Nishawahi kuwa na gari yenye cc2500 ilikuwa natumia wastani wa 10km/Litre. Mie siishi miji mikubwa kama Dar ila pia mazingira yangu yananihitaji kusafiri kwenda mbali in a limited time na pia nahitaji a comfortable car ndo maana nika-opt toyota harrier 3.0L.

Je, consumption yake ipo below 8km/L?

Please nahitaji mzoefu wa gari hili anipe maelezo mazuri na ya kina!

Thanks.

Cc LEGE ilonga
HIYO GARI KUBWA SANA NA NI YA STAREHE,,PIA KUIZA ITAKUCHUKUA MUDA KAMA WE NI MTU WA KUUZA MAGARI MAPEMA,,TAFUTA GARI YENYE ENGINE NDOGO
 
Forum statistics

Threads 1,382,491
Members 526,377
Posts 33,829,192
Top