Je, matumizi ya mafuta kwenye Toyota Crown Athlete yapoje?

Hii ni kwa gari.yoyote

Baby walkers watu wanadai zinakula mafuta kidogo sababu engine ndogo

Lakini endesha ikanyagie ma rpm yaende hadi 5000 ++ ili upaye speed fast utaona kuwa hata IST na crown zinakula mafuta sawa afu utakuja jf kulalamika gari langu bovu linakula mafuta sanah.

ungekuwa specific kidogo

hyo crown athlete inatumia engine gani kati ya hizi mbili...
 
Mkuu nimeskia watumiaji wengi wa Athlete wanasema Dsm sio nzuri ....haihitaji safari fupi fupi.

Yani kwa safari fupifupi inakula sana Mafuta. Pia usipoweka mafuta zaidi ya robo tatu au full tank ulaji unakuwa mkubwa.... Je ni hearsay or?.
Maneno tu mkuu kati ya hao uliowasikia wanaongea hayo kuna hata mmoja anamiliki hiyo crown au gari yoyote inayotumia GR series of engine?
 
Mkuu nimeskia watumiaji wengi wa Athlete wanasema Dsm sio nzuri ....haihitaji safari fupi fupi. Yani kwa safari fupifupi inakula sana Mafuta...
Kwa navyoona gari za toyota nyingi ikiwa full tank ulaji wake unakuwaga mzuri sana tofauti na mafuta ya elfu 15 baada ya taa kuwaka. Tia full tank utaona jinsi mshale unavyochelewa kushuka chini ya herufi "F" tofauti na ikiwa kistari kimoja juu ya herufi "E" kurudi chini na kuwaka taa ni chap sana
 
leo JF nimepata mwanga hasa kuhusu hizi SIX na 4cyilinder ilikuwepo mada inayozizungumzia miaka ya nyuma siioni tena lkn wa 6cyinder walishinda wakidai piston 6 ni nyingi lkn boya ni dogo wakati 4 bore ni kubwa na linachoma mafuta mengi na nguvu kubwa wakati 6 wao ni dogo na crankshaft inazunguka haraka na kwa mwendo mkali.

sasa nje ya mada hii ninaposikia Harrier ya 6 (1mz) inakula kuliko ya 4 (5s) uhalisia unakuwa wapi kwani nilipoulizia walisema wote wanarange wote kwa 6km-10km/ litre.

je niiogope hiyo yenye 3000cc au nikanunue tu.

p/se tutani hapo

huwa nacheka nikikuta post za madalali wa bongo wanauza tezza alafu wanaandika engine ndogo 4 cylinder yani haili mafuta wangejua ile 6 ndio ipo economy kuliko hyo 4
na ukiwa huna elimu nayo unaingia mkenge unaacha 1g unavagaa 3sge ukijua hii yenye 4 ina unafuu
 
leo JF nimepata mwanga hasa kuhusu hizi SIX na 4cyilinder ilikuwepo mada inayozizungumzia miaka ya nyuma siioni tena lkn wa 6cyinder walishinda wakidai piston 6 ni nyingi lkn boya ni dogo wakati 4 bore ni kubwa na linachoma mafuta mengi na nguvu kubwa wakati 6 wao ni dogo na crankshaft inazunguka haraka na kwa mwendo mkali...
Kwa hapo nunua yeyote tu kwa sababu ukubwa wa cylinders haujapishana sana. Ila mi ningeopt 6 Cylinders.

Mchanganuo:
1mz ni 3000cc kwa wastani kila cylinder itakuwa inachoma 500cc (500×6=3000)

5s ni 2160cc kwa wastani kila cylinder itakuwa inachoma 540cc (540×4=2160)
 
Kwa hapo nunua yeyote tu kwa sababu ukubwa wa cylinders haujapishana sana. Ila mi ningeopt 6 Cylinders.
Mchanganuo:
1mz ni 3000cc kwa wastani kila cylinder itakuwa inachoma 500cc (500×6=3000)
5s ni 2160cc kwa wastani kila cylinder itakuwa inachoma 540cc (540×4=2160)
Nakushukuru sana ila ungemalizia na horse power inayotoka
(wengine wanapima kwa kW)
 
leo JF nimepata mwanga hasa kuhusu hizi SIX na 4cyilinder ilikuwepo mada inayozizungumzia miaka ya nyuma siioni tena lkn wa 6cyinder walishinda wakidai piston 6 ni nyingi lkn boya ni dogo wakati 4 bore ni kubwa na linachoma mafuta mengi na nguvu kubwa wakati 6 wao ni dogo na crankshaft inazunguka haraka na kwa mwendo mkali
sasa nje ya mada hii ninaposikia Harrier ya 6 (1mz) inakula kuliko ya 4 (5s) uhalisia unakuwa wapi kwani nilipoulizia walisema wote wanarange wote kwa 6km-10km/ litre
je niiogope hiyo yenye 3000cc au nikanunue tu
p/se tutani hapo
hapa kwenye utata wa 6 cylinder 1G Engine na 4 clynder 3S-GE by yamaha na 3S-GE kuwa na power na ulaji uko juu

conclusion yake haiwezi kutumika kutoa judgment kwenye engine nyingine

WHY?
hii 3S-GE generation ya mwisho iliyotengenezwa na YAMAHA almaarufu kama 3S-GE black Top hii ilitengenezwa maalamu kwa ajili ya perfomance

ndio maana piston rum zake zilikuwa kubwa ili kuruhusu more power iwe produced kwenye kila pigo la piston na kupelekea kuwa inazalisha 210 BHP

and since more power mor fuel got burned matokeo yake yakawa inakuchoma zaidi ya 1G yenye 6 cylinder ila ikizalisha 165 BHP

na ndio maana ukichukua 3S-GE 4I za 1st generation hadi 3rd generation zenyewe zinakunywa mafuta kwa kiwango kidogo ukilinganisha na 1G yenye 6I sababu zenyewe rum zake zilikuwa ndogo kama za engine nyingi za 4cylinder zilivyo.

BACK TO 5s na 1MZ
5s imetengenezwa kwa matumizi ya kawaida while 1MZ imetengenezwa kwa ajili ya kukupa power kidogo

ndio maana 5s zote zina range kwenye 130 bhp to 140 bhp

while 1MZ zikirange kwenye 210 BHP to 230 BHP

so hapa kama unahitaji yenye power go to 1MZ and power haiji hivi hivi there must be a price to pay which is FUEL though ni kiasi kidogo tu kinachozidi compared to 5s.

ila kama unahitaji a normal driving with no complications kwenye harrier go for 5s.
 
Back
Top Bottom