Je, matumizi ya mafuta kwenye Toyota Crown Athlete yapoje?

Wewe sasa ndio umeongea kitaalamu na kwa uzoefu. Kimsingi 4GR-FSE (Crown na Mark X) ni engine iliokuja ku replace 1JZ japo haiifikii kwa pulling ila imefanyiwa modification isile sana mafuta hata katika uendeshaji wa kawaida tu tofauti na ulaji wa 1JZ engine ilioko kwenye Brevis.

Kinachowaponza wabongo wengi ni poor car maintanance na poor driving skills. Economical driving watu hawazingatii wamekazana kusema gari flani ni 6 cylinder inakula wese. Kuna jinsi ya kuendesha gari sio ukishuka bumps unagandamiza mguu mpaka injini inavuma, taa zikiruhusu unabonyeza wese mpaka gia zikishift gari inastuka. Kwa uendeshaji mmbovu hata IST utaona inakula wese tu hamna namna.

Eco driving: Hakikisha mshale wa RPM hauvuki pale kwenye namba 2 kabla ya gear kuongezeka. Weka mguu taratibu kwenye pedeli ya mafuta hakikisha gari inaenda gear ya pili kiwepesi bila kuvuka zaidi ya namba 2 kwenye mzunguko wa engine. Hapo hata ukitumia V8 utaona haili wese!
upo sahihi kabisa
 
Mkuu nisaidie kwenye altezza ulaji wake,maana nataka nishuke kwenye subaru legacy twin turbo niingie kwenye tezza
Chukua Altezza yenye 6 Cylinder 1g-fe Beams (155hp) inakula wese kwa pozi na haitumii nguvu sana kupata mwendo kuliko ile ya 4 Cylinder 3s-Ge beams(187hp) ambayo inakamua zaidi wese unapotaka isogee kiuhakika.

Wabongo watakuja kushangaa kwanini nimekwambia chukua 6 ila ni maswala ya phyisics na uzoefu.
 
Hahah aisee ni kweli,ile shape yake+ile milango yake ilinichanganyaga aisee nikaona niivute, nikaipiga sport rims,mziki mnene ila kwny oil nili-surrender.

Since 2015 nilimuuzia muhindi na bado namuona anadunda nayo tu,atakua amejitoa mhanga aisee.
Hahaha wahindi wana dough, hawawazi kama sisi. Ila gali ya petrol kutafuna oil kiroho mbaya haikubaliki. That was too much!
 
Wachache hawaelewi hili
Chukua Altezza yenye 6 Cylinder 1g-fe Beams (155hp) inakula wese kwa pozi na haitumii nguvu sana kupata mwendo kuliko ile ya 4 Cylinder 3s-Ge beams(187hp) ambayo inakamua zaidi wese unapotaka isogee kiuhakika.

Wabongo watakuja kushangaa kwanini nimekwambia chukua 6 ila ni maswala ya phyisics na uzoefu.
 
Chukua Altezza yenye 6 Cylinder 1g-fe Beams (155hp) inakula wese kwa pozi na haitumii nguvu sana kupata mwendo kuliko ile ya 4 Cylinder 3s-Ge beams(187hp) ambayo inakamua zaidi wese unapotaka isogee kiuhakika.

Wabongo watakuja kushangaa kwanini nimekwambia chukua 6 ila ni maswala ya phyisics na uzoefu.
Ahsante sana kiongozi
 
ungekuwa specific kidogo

hyo crown athlete inatumia engine gani kati ya hizi mbili

1- 2.5 V6 4GR-FSE

2- 3.0 V6 3GR-FSE

nitaelezea hyo engine ya kwanza maana nimeshawahi kuitumia kwenye mark X

inakula mafuta sanaaa kama ukiwa ni mtu wa flat foot na inakula mafuta vizuri ukilinganisha na displacement yake kama ukiwa unaendesha gari kiustaarabu

- ukiwa unaendesha gari kiustaarabu pasipo kuflow fuel pedal na ukawa unarange kwenye rpm 1500 -2200 basi utapata fuel consumption nzuri tu ya up to 9-10 km per litre

- ukiwa ni mtu wa kuflat foot ili uenjoy ile pulling ya 210 bhp rear wheel drive yani ww ukiingia road unakanyaga pedal ya mafuta sec 4 upo 80kph rpm inaenda hadi 3000 ndugu yangu hapo inabidi mfuko uwe vizur sababu you are likely to get 5-7 km per litre which is very bad kwa uchumi wako na hata mazingira yetu

ushauri kama unamiliki crown na unataka isikuumize mafuta basi iendeshe kistaarabu yani usiiforce ikimbia pasipo sababu za msingi kwan engine itarun kwenye rpm za juu na kupelekea kula mafuta mengi

just let it accelarate naturaly and run the engine at lower rpm 1800- 2200 rpm to get economic fuel consumption
Hichi ulicho ongea ni 100%

Nlikuwa na broo wangu mmoja anakanyaga wese kistaarabu,, amenifundisha pia,, yaan unacheza na kale kamshale unabalance tu, yaaan utashangà lita tano tu umevuka senegerema unaitafuta Usagara mwanza
 
Chukua Altezza yenye 6 Cylinder 1g-fe Beams (155hp) inakula wese kwa pozi na haitumii nguvu sana kupata mwendo kuliko ile ya 4 Cylinder 3s-Ge beams(187hp) ambayo inakamua zaidi wese unapotaka isogee kiuhakika.

Wabongo watakuja kushangaa kwanini nimekwambia chukua 6 ila ni maswala ya phyisics na uzoefu.
mkuu hizi altezza za 3s-ge ni bhp 210 ni ile 3s-Ge latest generation ya YAHAMA

hiyo 3s-ge ya 189 ni ile 3s-ge generation ya pili kutoka hii ya yamaha mara nyingi huwa ipo kwenye Rav 4 za UK SPEC

ila hii 3s-ge ya kwenye tezza ni 4 cylnder ila piston room zake ni kubwa ndio maana inaproduce 200+ bhp na kula wese zaidi kudizi ile ya 1G ya 6 inline

ila sasa ukikutana na madalali wa kibongo wanakwambia altezza ya 6 ni injini kubwa inakula mafuta chukua ya 4 wakati ndio wanakupeleka kwenye moto
 
E

Eeh mkuu ni 5th Generation ndio inatoa 210 hp, 4th ndio hio yenye 180+ hp!
 
E

Eeh mkuu ni 5th Generation ndio inatoa 210 hp, 4th ndio hio yenye 180+ hp!
huwa nacheka nikikuta post za madalali wa bongo wanauza tezza alafu wanaandika engine ndogo 4 cylinder yani haili mafuta wangejua ile 6 ndio ipo economy kuliko hyo 4

na ukiwa huna elimu nayo unaingia mkenge unaacha 1g unavagaa 3sge ukijua hii yenye 4 ina unafuu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom