Mkuu hujasoma hesabu? Btw ukisoma gari imeandikwa 2.0 au cc2000 huwa ni 1980 au ukiona 1500cc huwa 1490 n.k
sio kanuni hiyo bro kwamba 2L zote zina 1980 ...hayo ni makadirio wanafanya hata me nikitengeneza engine INA cc 1970, or 80,90,98 still nitaiita 2L engine