Matumizi ya mafuta kwenye Toyota crown athlete yapoje?


Complex

Complex

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2013
Messages
4,034
Points
2,000
Complex

Complex

JF-Expert Member
Joined Mar 20, 2013
4,034 2,000
ni chaguo zuri... hata mark X pia ni chaguo zuri

zinatumia same engine sema mark X imepitwa sehemu moja na crown

handling ya mark X kwenye kona ukiwa speed inahitaji uwe dereva haswa ila crown kwenye kona ukiwa speed iko very smooth

hapo tuuuu ndipo nilipoipaga maksi crown over mark x....

sisi wengine ni wazee wa mbio so huwa tunahitaji gari yenye stability kwenye hali zote

nilipigaga trip ya kusini na mshkaji wangu mimi nilikuwa na mark X yeye ana crown na zote tumefanya delimit so zilikuwa zinavuka 180kph na wote ni watu wakutembea

ila yeye ni muoga kidogo kwenye flat out nilikuwa namchapa ila kwenye kona yeye alikuwa anachukua point zote tatu
Ni kweli, mark X katika kona inavuta. Ila ni gari moja imetulia sana barabarani na ipo stable sana. Niliitest mpaka 180 ilikuwa imetulia sana na unaweza usihisi kama upo 180.
 
Komeo Lachuma

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Messages
1,492
Points
2,000
Komeo Lachuma

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2014
1,492 2,000
Ficha ujinga wako. Ungekuwa unafaham magari usingeandika hivyo. Hiyo 1490 ndo inakuwa approx 1500 hata gari zenyewe nyuma utakuta wameandika 1.5 au 2.0 wakati ni 1980. Au 2980 wao wanaandika 3.0 kama hamjui muwe mnauliza.TI ina cc 1490 sio 1500

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ProBook

ProBook

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2012
Messages
518
Points
250
Age
28
ProBook

ProBook

JF-Expert Member
Joined Jan 13, 2012
518 250
Hii ni kwa gari.yoyote

Baby walkers watu wanadai zinakula mafuta kidogo sababu engine ndogo

Lakini endesha ikanyagie ma rpm yaende hadi 5000 ++ ili upaye speed fast utaona kuwa hata IST na crown zinakula mafuta sawa afu utakuja jf kulalamika gari langu bovu linakula mafuta sanah.

ungekuwa specific kidogo

hyo crown athlete inatumia engine gani kati ya hizi mbili

1- 2.5 V6 4GR-FSE

2- 3.0 V6 3GR-FSE


nitaelezea hyo engine ya kwanza maana nimeshawahi kuitumia kwenye mark X

inakula mafuta sanaaa kama ukiwa ni mtu wa flat foot na inakula mafuta vizuri ukilinganisha na displacement yake kama ukiwa unaendesha gari kiustaarabu

- ukiwa unaendesha gari kiustaarabu pasipo kuflow fuel pedal na ukawa unarange kwenye rpm 1500 -2200 basi utapata fuel consumption nzuri tu ya up to 9-10 km per litre


- ukiwa ni mtu wa kuflat foot ili uenjoy ile pulling ya 210 bhp rear wheel drive yani ww ukiingia road unakanyaga pedal ya mafuta sec 4 upo 80kph rpm inaenda hadi 3000 ndugu yangu hapo inabidi mfuko uwe vizur sababu you are likely to get 5-7 km per litre which is very bad kwa uchumi wako na hata mazingira yetuushauri kama unamiliki crown na unataka isikuumize mafuta basi iendeshe kistaarabu yani usiiforce ikimbia pasipo sababu za msingi kwan engine itarun kwenye rpm za juu na kupelekea kula mafuta mengi

just let it accelarate naturaly and run the engine at lower rpm 1800- 2200 rpm to get economic fuel consumption
 
Kamwene

Kamwene

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2016
Messages
1,143
Points
2,000
Age
21
Kamwene

Kamwene

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2016
1,143 2,000
Naam wenye baiskeli sasa tunaruhisiwa humu? Ama tu
 
Jimmie Gatsby

Jimmie Gatsby

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2013
Messages
3,363
Points
2,000
Jimmie Gatsby

Jimmie Gatsby

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2013
3,363 2,000
Mkuu nimeskia watumiaji wengi wa Athlete wanasema Dsm sio nzuri ....haihitaji safari fupi fupi...
Yani kwa safari fupifupi inakula sana Mafuta.
Pia usipoweka mafuta zaidi ya robo tatu au full tank ulaji unakuwa mkubwa.... Je ni hearsay or?.
maneno tu mkuu kati ya hao uliowasikia wanaongea hayo kuna hata mmoja anamiliki hiyo crown au gari yoyote inayotumia GR series of engine?
 

Forum statistics

Threads 1,296,029
Members 498,510
Posts 31,231,852
Top