Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,855
- 34,316
Unahitaji kupata usaidizi dhidi ya matumizi mabaya ya pombe na dawa zengine. Bonyeza ili upate maelezo zaidi kuhusu uvutaji wa sigara, unywaji pombe na madawa ya kulevya.
Tumbaku na uvutaji sigara
Tumbaku ndio inayotumika vibaya ikilinganishwa na madawa mengine.Kuvuta sigara au kiko husababisha magonjwa haya, ugonjwa wa moyo, pigo, ugonjwa wa mapafu, saratani ya koo, kibofu cha mkojo, firigisi n.k
Watu wengi wanaovuta sigara wanajua kuwa ni mbaya kwa afya yao, jaribu kuwacha au usianze kuvuta.
Ukweli kuhusu tumbaku:

- Tumbaku huleta saratani yam domo, ulimi, na 80% ya watu wanaovuta sigara walianza wakiwa vijana.
- Kampuni za sigara huongeza madini ya ammonia kwa hivyo ubongo hufunikwa na nikotini.