Matumizi ya lugha. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matumizi ya lugha.

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Ekitarangwe, Apr 22, 2009.

 1. E

  Ekitarangwe Member

  #1
  Apr 22, 2009
  Joined: May 29, 2008
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haya wana jf kunaneno moja nataka munieleze matumizi yake.

  Nihivi Mh furani KAGONGA Wasichana wawili mjini Dar je mnapata picha gani?
   
 2. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #2
  Apr 22, 2009
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,931
  Likes Received: 2,084
  Trophy Points: 280
  Ekitarangwe,

  Hili ni jukwaa la lugha na hivyo nafanya masahihisho kidogo:

  'Kunaneno' = kuna neno
  'Munieleze' = mnieleze
  'Nihivi' = Ni hivi
  'Furani' = Fulani

  Hilo la 'Mh fulani kagonga wasichana wawili' nawaachia wataalamu wengine.
   
Loading...