Matumizi Ya Kwaya za Makanisa ktk Kampeni-SUMBAWANGA

ayhan2000

Member
May 3, 2012
26
3
Kupitia tathmini ya uchaguzi wa mwaka 2010 baadhi ya makanisa yaliruhusu kwaya zao kutunnga nyimbo kumnadi mgombea wa CDM mfano halisi ni kwaya ya familia takatifu na kwaya ya pentekoste chipu najiuliza kikatiba ikoje hii na ni yapi mahusiano yaliyopo kati ya chama husika mgombea na makanisa hayo
 
Namtafuta "Ptz" hapa jukwaani. Alitaarifu vizuri sana kutokea mahakani siku ya hukumu. Nadhani unalijua hilo. Tusaidie na zile taarifa za kasense (usiku) siku ya kupiga kura 2010. Ikibidi jazia na matukio ya mtendaji wa katandala (unakumbuka). Na siku ya mlungula pale kantalamba-fuatilia ushahidi mahakani. Huu uzi wa pili unafungua kwa utata!
 
mbona pale kanisa fulani liliposema JK ni chagua la mungu 2005 hamkusema..2015 ndo mpka misa zitaendeshwa kuwa chagua CHADEMA..mtaelewa tu...tulieni hivyo hivyo mbona 2015 mtasikia utamu sanaa...
 
Back
Top Bottom