Matumizi ya kinga (kondomu) katika tendo la ndoa

matics

Senior Member
Aug 18, 2019
133
80
Hivi ni kwanini wanawake huwa hawana maamuzi juu matumizi wa kingamaana akishaingizwa chumbani tu mwenye maamuzi huwa ni mwanaume?

Mwanzon anaweza uliza ziko lakini baadaye haulizi tena au anaweza kuuliza ukajifanya kuivaa ila ukitaka kupenyeza tu unaitoa na anaendelea tu
 
Kwanini gari halimpangii dreva kwakwenda. Ye anaenda mbezi lenyewe likaenda kimala.

Nami niulize swali kama mtoa mada bhana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom