Matumizi ya kifisadi ya Dr. Slaa kwenye ziara ya mkoa wa Kigoma, Singida, Tabora na Shinyanga

jamani bado anaiba tu mbona alizoa hela nyingi sana wakati anajenga nyumba yake hajarudisha lakini tena kazoa zingine huyu mzee wutu hatufai.

Kwa vile nyie mnaona kwa namna moja ama nyingine ni ubadirifu? Kwanini msiende mahakamani akashtakiwa kwa kujilimbikizia fedha za umma? Na atakayewaamini ni wachumia tumbo tu! Chadema Maazimio yote yana baraka za Chama.
 
Tuweke na ya Kinana ili tulinganishe.. Husisahau kuweka na ya Mwenyekiti wako aendapo Ulaya
 
Umenichekesha mtoa maada kumbe hadi leo CDM inatumia 80,000 per diem
Kweli CDM ndo chama pekee kitakacho mkomboa mtanzania
Hii 80,000 nakumbuka ilikuwa inatumika hadi kufikia 2009
Mungu akulinde Dr wetu wa ukweli

elfu 80 kwa siku moja wewe unaona kidogo? mshahara wa Mwalimu kwa mwezi. Hakika ufisadi utalimaliza hili Taifa.
 
Tuweke na ya Kinana ili tulinganishe.. Husisahau kuweka na ya Mwenyekiti wako aendapo Ulaya

Za KINANA unatakiwa utafute wewe kama mleta mada alivyofanya kwa SLAA na uambatishe nyaraka ili usitupotoshe.
 
elfu 80 kwa siku moja wewe unaona kidogo? mshahara wa Mwalimu kwa mwezi. Hakika ufisadi utalimaliza hili Taifa.

Mkuu, ZITTO KABWE alikuwa anatumia fedha yake mfukoni kujenga chama. Dr Slaa anatumia fedha ya chama kukagua chama. hii ni hatari kubwa sana. kumbe ndo maana wamemkalia kooni ZZK maana alikuwa anahatarisha mirija ya wenyewe
 
Ni kweli mkuu mtu akipata chansi ni kuiba tu siamini kuwa slaa amekuwa na maisha ya kuibia chama kiasi hiki kwa kigezo cha ziara.

Posho ya 80,000/= kwa siku kwa Katibu mkuu wa chama ni ndogo sana jamani. Kumbuka hiyo ni pamoja na chakula, malazi nk. Mimi mfanyakazi wa kawaida wa serikali nikisafiri ndio nalipwa sh 80,000/=. sembuse katibu mkuu wa chama kikubwa kama CHADEMA. Au unataka alale gest house ya Tsh. 5,000/=?? Uwe unafikiri japo kidogo kabla ya kuleta uzi humu
 
Mbona huelezi msafara wa kinana utatumia shilingi ngapi katika ziara yake inayoendelea mikoa ya kusini na nyanda za juu?
Wewe ulitaka hiyo ziara ya siku 18 itumie sh ngapi?
Mbona husemi ziara za kikwete zinatumia sh ngapi huko nje anakokwenda kila mara kama vile yeye ni waziri wa mambo ya nchi za nje?
 
Hivi watanzania mmelogwa nini? Mada nzuri kama hizi hamtaki kuziona kwa nini? kuna mambo mengi sana ya kujifunza kuhusiana na mada hii, Kuna kitu najifunza hapa kwa kipengele kimoja tu cha WANDISHI wa Habari kulipwa na CHADEMA kwenye ziara hii, ili iweje? siku zote CHADEMA walikuwa wakiwalipa kwenye ziara zao?

msamiati kulogwa una maanisha nini? pili kama akili yako inaacha kufikiria inajipeleka kwenye kuloga hata tukikuambia wakati wa mabadiliko umefika utasubiri mpaka mpiga ramli wako akuambie ndio uelewe. Kama hayo ya kuhongwa una ushahidi nayo fungua thread mpya mwaga kama ----- hapa jukwaani watu waone, wajadili in and out
.
 
Tamaa za namna hii kwa wanasiasa wetu ni jambo la hatari sana mzee slaa kweli anawachuma chadema.
 
Kwa mtu anayesema 80,000 kwa siku ni matumizi ya kifisadi maana yake hana uwezo wa kumiliki hata nusu ya hiyo hela kwa siku. Ndio maana akina Mwigulu wanawalipa 7,000 kwa siku maana mnajidharaulisha wenyewe
 
Mkuu, mbona hauhoji matumizi ya shilingi laki tatu kwa ajili ya kipaza sauti cha babu?[/QUOTE

mkuu pamoja na kutofautiana na wewe kwa kiasi kikubwa kwenye heading ya habari yako lakini tusiwe Penny wise and pound fool at the same time...... sasa unadhani kwa taasisi makini kama CDM wanaweza kumpa tu fendha hivi hivi bila kujidhirisha kwamba hizo expense ni genuine?

hivi kweli unaweza kumuita mtu fisadi kwa vilaki vitatu... tena anaefanya kazi usiku na mchana kuhakikisha chama kinawavutia wananchi wengi zaidi? kama unadhani hiyo kazi ni rahisi hasa kwa kipindi kama hiki embu nenda wewe ukaone moto wake.....

namshukuru mungu yote haya yametokea sasa tumegundua tuna wapinzani wa ndani na nje ya chama nakuhakikishi tutapambana nao hadi mwisho..... Chadema iwe imara, tupate viongozi makini, tuache akili za ccm za kushikiziwa kwamba bila wao na wajukuu zao hakuna utawala Tanzania.......

mkuu this is serious tukishindwa na Chadema tutarudi huko kwenu na tutapambana mpaka kieleweke.... tumechoka ukoloni wa mtu mweusi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom