Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,249
Nakuja tu na maswali chokonozi
- Hivi ni Kwa Nini Waalimu wanatumia kalamu ya rangi nyekundu na si bluu kama wanafunzi?
- Ni Kwa Nini pia Maraisi ndio Huandikia peni nyekundu?
- Kwa nini Wakaguzi aghalabu wa Hesabu hutumia peni ya kijani?
- Vipi Kuhusu Kalamu Nyeusi?
nauliza hivi kwa sababu hizi rangi ukigeukia muktadha mwingine zinamaana tofauti sana mfano wengine husema unapotumia kalamu nyeusi inaa maana unatengeneza pesa na bluu maana yake unapoteza pesa ilihali nyekundu ikielekezwa zaidi kwenye mikosi
MAJADILIANO COMPILED
RANGI ZA KALAMU NA MATUMIZI YAKE .......@@!!!
Mara Nyingi sana tumekuwa tukitumia pen bila kujipa angalizo fulani hivi ama kujua mantiki yake ..................
1. Kalamu ya Bluu ndiyo maarufu kutumika na wengi na hasa kwenye official document za kawaida (not mandated or authentic)
We basically have two choices when it comes to pens: black or blue. Unless you are a teacher in which case you get to use red as well........."Of course blue pens. Because they contrast better with the documents you're writing on..................
2. Kalamu Nyeusi aghalabu hutumika kwenye miamala ya Kibiashara zaidi............."Black edges it on the grounds that it looks more professional and is a legal requirement for signing legal documents and form-filling............."Some entities are now requiring signatures in blue ink in order to differentiate the original from a copy.
3. Kalamu Nyekundu Aghalabu Hutumiwa na wenye Mamlaka Katika Kusaini Official Documents na hasa SHeria na Hati fulani fulani na mara nyingi anayeruhusiwa kutumia kalamu nyekundu ni Mh Rais na Waalimu katika kujitofautisha na wanafunzi na kuweka msisitizo zaidi kwenye masahihisho
4. Kalamu ya KIJANI inatakiwa kutumiwa na Wakaguzi tu na hasa wa HESABU
5. Kimsingi na KISHERIA, UNATAKIWA KILA MTU KUWA NA PENI MAALUM YA SIGNATURE. tumewahi kupata kesi ya mtu ambaye saini yake ilidukuliwa na yeye kukiri dhahiri shari kwamba ni saini yake kabisaaaa ila kwenye utetezi akasema kwamba peni iliyotumika siyo peni yake kwani ana peni maalum ya kuweka saini nyaraka zake zote za kisheria
6. Si salama sana kutumia kalamu nyeusi kwenye maandishi meusi, kisheria hiyo ni kopi na si halisi, jitahidi sana kutumia kalamu ya bluu kwenye maandishi meusi na hasa typed (Many copiers are so good now that black ink can look like part of a photocopy."-
7. Ball Pen ndiyo offical pen kwa nchi nyingi duniani. kumbuka Kama unatumia 'jel pen' basi ukitumia 'ball pen' mwandiko 'kitaalamu' unatofautiana (hasa kama kalamu hizo zikiwa na ukubwa wa maandishi unaotofautiana.
8. Kuna Baadhi ya nchi;
i. mwanafunz unaruhusiwa kuandika kwa penseli na kalamu ya rangi yeyote ile (bluu, kijani, nyekundu, nk).
ii. Hawaruhusu kuweka sahihi (signature) kwa kalamu ya rangi nyingine yeyote ile isipokuwa 'bluu'. Kuna sehemu zingine hata kujaza fomu iliyochapwa ni lazima utumie kalamu ya rangi ya bluu.
iii. Wanatumia kalamu nyekundu kuandika jina la mtu aliyefariki (marehemu). Yaani hairuhusiwi na huwezi kuandika jina la mtu aliyehai kwa kalamu nyekundu.
mfano nchi ya Australia officials pen ni NYEUSI TU! hata baadh ya benki mfano NBC official pen ni nyeusi ingawa pia si salama sana kisheria