Matumizi ya fedha za wabongo . "toka kule kwa michuzi" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matumizi ya fedha za wabongo . "toka kule kwa michuzi"

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mfamaji, Jun 26, 2010.

 1. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #1
  Jun 26, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  SALAAMZZZZ FROM ANKAL KAMU IN NAKURU: WEDDING OR EDUCATION?

  ANKAL Issa Mhiddin Michuzi
  I am sorry that, i have been unable to communicate with you on a timely manner. have been on a project in the rural area, and just returned to Nakuru. I must begin by congratulating my brotherens in Tanznaia for hosting the brazilians national team. i am sure the country got enough exposure, and gained back the money invested in the historic friendly match, besides, tanzanians were fully entertained by Kaka and his team for a few millions dollars. so i must apologize to my neighbours who were so critical to me, and described me like a hater, we are not haters, we actually supported taifa stars.
  anyway, today, i must touch on a different topic, and that is the endless weddings in tanzania communities which have superceeded all other development issues. Tanzanians love to contribute greatly to wedding causes, but would not give a dyme to a worthy cause of education. I knew of many tz youth during my days in the UK who could not afford school because of poverty, and decided to look for other jobs to keep themselves. In kenya, our communities prefers harambee for young people who want to further their education. We dont contribute to weddngs, and we dont value them as much as we value education
  I was irked by the wedding issue in Nairobi, where a number of TZ associates at work, almost everyweek, received cards soliciting for donations, and has never seen any card seeking funds for a young man seeking further studies abroad, and this is one of the reasons why I was concerned to see the country spending such huge amounts for brazil instead of investing that amount to produce young people who can play in foreign professional clubs.lakini huko watu wanatoa pesa yao kwa harusi tu, hata mutu akikufa ninyi amutoi muchango, hata kama mugonjwa hatuio kitu, lakini kam aharusi, ni spidi kama mwendaa
  sisi siyo mutu ya chuki, mutu ya chuki ni wakora tu, mutu mwenye kichwa muzuri hawezi kuweka kampuni ya simu tu inasaidia kuweka miss competition peke yake kila wiki hii. itakuwa muzuri kama watu wenyu wa simu na Breweries wanaweka scholarship ya shule huko UK kuliko kukaa kwa kuweka wasichana kwenye hoteli ya miss TZ. kama huyo musichana anakosa kupata miss TZ, anakuwa tu wa kukaa kwa baa kutafuta mutu wenye pesa mingi. kama unamusaidia kusoma, hiyo shida hakuna tena.
  Mimi siwezi kusema kenya ni inchi muzuri sana, hapana, kwa sababu hao mang'aaa wanaiba kura, na hata kufanya katiba mupya kusipite, ila watu ya kawaida wana akili nzuri ya kujua kitu gani wa kufanya. na kitu wa aibu hata minister muzima anafika kwa miss competition, kama siyo kukaa kwa ofisi kutafuta mwizi wa ngo'mbe huko kwa kijijini
  Sasa mimi nauliza tu kama munaona kwenda kwa harusi ni muzuri kuliko kwenda kwa shure?
  Mujomba Kamau
  Nakuru, Kenya
   
 2. M-mbabe

  M-mbabe JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2010
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 4,989
  Likes Received: 3,737
  Trophy Points: 280
  Coming from a Kenyan, it hurts.......but what a naked truth. Wa-TZ binafsi hatuna vipaumbele tija, just like serikali yetu ya sasa ilivyo. Hapa sijui nani kamwambukiza mwenzake kaugonjwa haka!!
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  A stomach-Blow!!!...Inauma!
   
 4. Wa Mjengoni

  Wa Mjengoni JF-Expert Member

  #4
  Jun 27, 2010
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 482
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ni ukweli unaouma sana.Eee Mungu bariki vizazi vijavyo vya Watz visicopy na kupaste yaliyazungumziwa! Amen.
   
 5. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #5
  Jun 27, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Ni upupu tu anaongea. Ktk dunia ya leo ya free competition na capitalism kila kampuni zina strategies zao. Huwezi ukawapangia eti waweke scholarship wakati wanajua jamii haitastushwa tukio wanaloliandaa. Wanapodhamini mashindano ya umiss sio charity pale like this mungiki wants us to believe. Udhamini ni aina ya market strategy.

  Na hiyo anasema ati wananchi wao wana akili ila ati viongozi wao ndio akili hamuna huo ni upupu mwingine. Hii mijamaa inapenda sana kuishi kwene denial. Viongozi ni reflection ya watu wake. Hakuna maelezo tofauti hapo.

  Halafu hiyo ya kusema watu hawachangii msiba sijui amipata wapi. Yes tunachangianaga harusi, maana hiyo ni culture yetu. Tupo nayo na ndio maana sisi ni waTz, inatutofautisha na mijitu mengine isiyo na utu, hatuabudu pesa na mali kama ndugu zetu. Tunajua maisha sio kutafuta tu, bali na kutumia vilevile na kurelax, bcoz we know we only live once.
   
 6. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #6
  Jun 27, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Anachoongea huyo jamaa ni aina fulani ya uhuni jamani msikubali kubadilishwa tamaduni na taratibu zingine za kimaisha ambazo zimekuwa ndio nguzo ya umoja , amani na ushikamano wetu toka tupate uhuru
   
 7. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #7
  Jun 27, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  kuchangia harusi ni jadi yetu na inatokana na mila na desturi zetu.wenzetu ni wachoyo na wabinafsi sana .wanaona wivu wa tofauti zetu kimaisha na kijamii.
   
 8. L

  Lunanilo JF-Expert Member

  #8
  Jun 27, 2010
  Joined: Feb 15, 2008
  Messages: 370
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Sina tatizo na kuchangia harusi, lakini siuelewi hii tabia ya mashindano ya urembo na sare za kitchen partyy zinazoonekana kama za gharama sana. kuna blogs mbili hive za akina dada kila ukifungua ni miss ocean road mara miss Ilala mara mis central da, mara miss Ausha etc etc yaani sielewi hii ni kama aina fulani ya ugonjwa. Haya ukija hizo kitchen party ndiyo usiseme, unyago wa ndoa ulikuwepo toka enzi za mababu, haikuwa hadharani kama unavyoona sasa zawadi zilikuwa zinatolewa na akina mama na rafiki zamama lakini haikuwa kufuru kama sasa, makeki ya gharama ( kuna dada anaita keiki "liogomjwa" kaubaliana na neno hilo maana keki ni sukari na unga na siagi tu inaweza kweli ikakuletea ugonjwa)

  Huyo dada globu yake ni baby showers, na bridal showers tu, na kukuelekeza mahali pa kununua mapochi, viatu bangili etc. hawezi hata kuwasaidia wenzie kuwapa maarifa ya kuishi na amani ya roho ( kuacha vitabia vya tamaa, kuangalia lishe na kujifunza kusave pesa nk.)

  niliwahi kutembelea blogu moja ya dada fulani, siku hiyo aliweka picha ya yule model aliyeliwa na aneroxia, baadhi ya comments ziliniacha hoi, ati mmoja wa wachangiaji alisema hiyo no photoshop, OMG the ignorance is pathetic.

  Huyo Mkenya anatukebehi, lakini waafrika tunavyopenda kuiga, sitashangaa kama huko nako kuna maharusi ya bei za juu, hawa si huwa wanafanyiana harambee?
   
 9. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #9
  Jun 27, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 25,827
  Likes Received: 20,815
  Trophy Points: 280
  just another OBSESSED KENYA..........hatujaanza kuchangiana harusi leo.....hii ni culture tangu enzi na enzi.....hukoooo vijijini enzi hizo watu wanachangia mahindi,mpunga,mbuzi,kuni n.k.
  sasa kama wakenya or whoever hawana utamaduni huu wasitulazimishe tuuache au kutuambia nini tufanye na hela zetu
  NB:michango hii ya harusi ni hiyari sio lazima,sasa kama wewe unajilazimisha kuchanga then unakosa ada/chakula cha wanao thats ur problem.
   
Loading...