kaka mzuli
Senior Member
- Jan 2, 2015
- 167
- 49
Matumizi ya dollar yamekithiri,hadi baadhi ya mashirika ya umma hutoa huduma kwa rates za dolar! Safari ni ndefu sana.
TRA wenyewe cwanapokadria kodi uwa ni kwa dollar
Matumizi ya dollar yamekithiri,hadi baadhi ya mashirika ya umma hutoa huduma kwa rates za dolar! Safari ni ndefu sana.
1.Staafisha Gavana wa benki kuu kwani ni mzigo.
2.Piga marufuku matumizi ya sarafu ya dollar ya Marekani kwa matumizi ndani ya nchi.
3.Wasafiri wote nje ya nchi waonyeshe passport zenye viza na ticket wanaponunua fedha za kigeni kutoka benki au bureau de change kuthibitisha kuwa wanazihitaji kwa matumizi nje ya nchi.
4.Wakaguzi wa BOT wahakikishe kuwa bureau de change zote zinafuata sheria na zinazokiuka zifutiwe leseni.
5.Wananchi wawe wazalendo kwa kutoa taarifa BOT wanapoona mtu yeyote anauza bidhaa kwa fedha za kigeni hapa nchini.
6.BOT watoe namba ya simu ya bure(toll
free hotline) kwa wananchi kutoa taarifa.
7.Hatua hizi zitapunguza kabisa mahitaji ya fedha za kigeni hivyo zitapungua thamani na shilingi itapata nguvu. Majirani zetu wamefaulu kwa nini tushindwe?
Naamini sheria zipo lakini BOT ni jipu lingine linalohitaji kutumbuliwa.

Ubarikiwe mkuu....hakika wewe ni mzalendo wa kweli........
Matatizo ya taifa hili mzizi wake ni uzalendo miongoni mwa wananchi.....mambo yote uliyoyaoanisha hapo yanahitaji uzalendo wa kiwango cha juu.......kila mwananchi anapaswa kuipenda nchi yake kwa moyo wake wote na akili yake yote.....hapo tutakapoanza safari ya kuelekea utawala bora.......na uchumi wetu.......
Ni TANZANIA PEKEE AMBAPO MWANANCHI ANASHIRIKIANA NA MGENI KUKWEPA KODI.........ALAFU MWANANCHI HUYO HUYO ANALALAMIKIA KUHUSU UPUNGUFU WA MADAWA HOSPITALINI......
kombi gani umesoma;
kama hujui kitu ; Omba msaada;
KAMA HUNA DEGREE YA UCHUMI KAA KIMYA ; AU SOMA KWA NJIA YA POST
Nashauri uangalie na kuzingatia maandiko. Shilingi haishuki thamani kienyeji...factor inayochangia sarafu yetu kushuka thamani ni uchumi unaotegemea zaidi bidhaa kutoka nje, kuliko uzalishaji wetu na hivyo kutukosesha mapato ya fedha za kigeni..at the end of the day, kama Taifa, tunakuwa na BoP HASI.
Njia pekee ya kufanya sarafu yetu iwe strong ni kuongeza uzalishaji na kufanikiwa kuuza katika soko la nje. Pia, tunahitaji kujitosheleza kwa mahitaji ya ndani..sio kila kitu kununua kutoka nje (toothpick, viberiti, diapers, office furnitures, nk)
Kumbuka, dunia sasa ni kijiji (global village). Ni vigumu sana kujifungia kama unavyoshauri. Tuache kukimbilia shortcuts kwenye masuala yanayohitaji kufanyiwa kazi ili nchi isonge mbele.
Kwanza nnakuuliza ni nani alikuambia kuwa shillingi ya Tanzania inahitaji kuimarishwa?
Umeandika kichwa cha habari kingine na utumbo mwingine.
Unataka kuimarisha shillingi au unataka kushusha thamani ya dollar? Fikiri.