Matumizi ya Dola: CCM walimfuata Mashinji kwa maandamano na kamera, wakaenda kwa Mch Msigwa vilevile, ila jinai kwa Chadema kumfata mwenyekiti wao

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,349
2,000
Hapa ndio tuna prove kuwa kauli ya Bashiru inavyotekelezwa kwa vitendo na vyombo vya dola.

Na inasikitisha zaidi pale mahakama nayo inasombwa na kumilikiwa na chama cha siasa kubariki uwongo juu ya faini ya Msigwa.

Inamaana kuwa msigwa alitala kutoleaa kwa mali kauli.

Nachokiona tunatengeneza uasi ndani ya nchi
 
Top Bottom