Kaka R uyu mnyama wa 260 ni nani...Hii button wengi wanaiona ila hawajui kazi yake au jinsi ya kuitumia.
Kazi yake ni kushikilia mwendo usibadilike.
Yaani ukiwa 60kph ukiibonyeza mwendo unasimamia 60kph bila wewe kukanyaga mafuta kwahio unapumzika kiaina. Ni nzuri Sana masafa marefu.
Inafanyake kazi?
Kwenye picha hapo chini kuna ON na OFF,kuna RESUME,SET. Unaweka ON unaendesha Hadi speed uitakayo halafu unabonyeza SET inakuwa active na mwendo haubadiliki.
Kukiwa na muinuko utasikia engine inaongeza nguvu ku maintain speed,kukiwa na mteremko utasikia engine inapunguza nguvu ku maintain speed as well.
Iwapo kitatokea kitu ukakanyaga brake CC inakuwa DEACTIVATED ili uendelee nayo unabonyeza RESUME na gari itajiongeza yenyewe Hadi speed uliotega awali.
Kuna alama +/- hizi unatumia kuongeza na kupunguza mwendo wakati CC iko ACTIVE. KAMA ulikuwa 60kph na unataka 70kph unabonyeza + kama unataka 50kph unabonyeza -
Tuendelee kujifunza.View attachment 1081511View attachment 1081512
Mkuu maelezo mazuri,mimi swali langu lipo nje ya mada kidogo. Je umewahi kumaliza kisahani kwenye hiyo gari ? maana naona inapiga mpaka 260km/h/
Kaka R uyu mnyama wa 260 ni nani...
Mana gari tulizozoea hazina hio Cruise Control
Ila ni kwa gar automatic tu sio.!?
Ss mda wote tuko kwenye foleniHaya Ndio matatizo ya kuzoea magari ya toyota/nissan/mazda(japan specifications) ndio maana tunaishia tu kuona 180km/h.
Na tunaendesha magari ya mjapan ya kizamani sana na ndio maana cruise control ni changamoto.
Bmw/audi/mercedes C/control ziko kitamboo tu kama standards wkt Mjapan alipointroduce Cruise control akafanya kwny gari zake(full options)/flagship cars.
Tutafuteni hela tu wakuu.
nina lexus gs300 inafanya vzuri lakin kama ni speed kubwa unaitesa injini inalia had bas mliman. traction iwe nzuri la tairi kama vile zinataka kuzungukiana.Kwenye Lexus GS toka wayback hio kitu ipo! Kwa Toyota labda zile highend models
True true ila sidhan kama paso inafika hata 180Ss mda wote tuko kwenye foleni
Kusafiri nje ya mkoa mara chache
Hio 260 naihitaji ili niitumie wapi?.
🤣🤣🤣🤣🤣nina lexus gs300 inafanya vzuri lakin kama ni speed kubwa unaitesa injini inalia had bas mliman. traction iwe nzuri la tairi kama vile zinataka kuzungukiana.
😂😂😂 ina ngapi ?duhh mnawaonea wenzenuuTrue true ila sidhan kama paso inafika hata 180
Ss mda wote tuko kwenye foleni
Kusafiri nje ya mkoa mara chache
Hio 260 naihitaji ili niitumie wapi?.
Naziona na sote tunatembelea 30 mda mwingi...mbona ulishangaa mtu kukosa 260.?we hardly use high speedKwani bmw,audi,mercedes huzioni hapa mjini?
Au zenyewe kwenye foleni zinapaa?
mana niliwai kuijarib @ 200km/h kwny lami mvua inanyesha. mliman ikataka kugeuka inakotoka kuhama njia km vile tair zmezdiwa mzunguko zkateleza🤣🤣🤣🤣🤣
mana niliwai kuijarib @ 200km/h kwny lami mvua inanyesha. mliman ikataka kugeuka inakotoka kuhama njia km vile tair zmezdiwa mzunguko zkateleza