Matumizi ya Contraceptives ni hatari sana kwa Wanandoa hasa ndoa changa

Siku za hatari zipo kama 8 hivi
images (1).jpg
 
  • Thanks
Reactions: _ID
Mkuu yaani hapa nilipo nashindwa elewa kama ni michezo kanichezea au ni nini, maana ninavyo fahamu mimi ukisex na mwanamke akiwa kwenye siku hatari ya mimba lazima atapata mimba tena kwa 2 days, au si hivo
Mimba inaingia muda huohuo
 
Kitanzi ndio kinga sahihi kabisa haina dawa yoyote na haibadili chochote kwenye mwilo wa mwanamke naitumia muda mrefu sana na nasahau kabisa kama nina hicho kitu mwilini
Upo sahihi kilinisaidia sana ila nimekitoa tayari kwa maandalizi ya kupata ujauzito
 
Suluhisho salama tu ukiona una watoto wa kukutosha ni kufunga uzazi...
Wanaume wenye upendo fanyeni basi vasectomy
weee mm kabisa huyuuu nifanye vasectomy weeeeh!!! what if huko uzeeni nikachange my mind nikataka kuongeza katoto kamoja?
 
umejiandaa kushika ujauzito, Je wa kukupa huo ujauzito yupo?? kama hayupo basi mm npo hapa!
🤣🤣🤣 Yupo tayari muda si mrefu anakuja kuujaza ulimwengu, Ni hisia nzuri sana Ukiwa unafanya maandalizi kama haya tena kwa kukusudia
 
Hivi hawa mabinti wa shule pia inawezekana na ni salama kuwawekea vitanzi mpaka watakapomaliza shule? Kuwakinga na mimba au ni kwa wanandoa tu?
Inasemekana si salama sana kwa mtu ambae hajawahi kupata mtoto, halafu uwekaji wake unahitaji mtu mwenye uzoefu na leba, unataka usiwe na aibu, Ni kupanua k uchunguliwe uwekewe kifaa,Sasa mwanafunzi mwenye uwezo huo sidhani km yupo,

Nakumbuka wakati wa kukitoa kulikuwa na manesi km watano na vianafunzi navyo vikaja kujifunza kwa vitendo, Ni kwasababu nilishazaa hivyo nikauchuna tu ila si rahisi kuvua na kuchanua uke mbele ya watu ukiwa umemulikwa na mitochi mikubwa,, dah wanawake tuna shida sana wakati mwingine
 
Hivi hawa mabinti wa shule pia inawezekana na ni salama kuwawekea vitanzi mpaka watakapomaliza shule? Kuwakinga na mimba au ni kwa wanandoa tu?
Kwa sasa wote wanaweza kutumia walokuwa sexual active ila inashauriwa kuwekwa na mtu mwenye uzoefu na mambo ya wanawake(gynocologist) kwasababu inawezwa kukosea kuwekwa!
 
weee mm kabisa huyuuu nifanye vasectomy weeeeh!!! what if huko uzeeni nikachange my mind nikataka kuongeza katoto kamoja?
wanaume bwana mna maajabu.wasaidieni wake zenu.
Na kwa nini ubadili mawazo kupata katoto baadae?
 
  • Thanks
Reactions: _ID
Back
Top Bottom