Matumizi ya compyuta

tug

New Member
Feb 27, 2009
2
0
Kwa nilivyokuwa naelewa, kabla ya uchaguzi wa Oct 31, 2010 ni kwamba Compyuta inarahisisha utendaji wa kazi. lakin katika hali ya kushangaza nimesikia matumizi ya kompyuta ndio yanayosababisha ucheweshaji wa matokeo ya uraisi. ninaomba msaada kwa hili.
 
Swali lako zuri tuwaulize EU, UNDP na NEC ya Lewis Mkame
 
Kwa nilivyokuwa naelewa, kabla ya uchaguzi wa Oct 31, 2010 ni kwamba Compyuta inarahisisha utendaji wa kazi. lakin katika hali ya kushangaza nimesikia matumizi ya kompyuta ndio yanayosababisha ucheweshaji wa matokeo ya uraisi. ninaomba msaada kwa hili.

Ndugu yangu, Tanzania computer inachelewesha vitu kinyume na wenzetu nchi zilizoendelea ambapo computer inaharakisha mambo. Niliwahi kumpeleka dada yangu hospital muhimbili, tulikaa kwenye foleni masaa matatu kisa tumeambiwa 'system haijaamka'. Ukienda kwenye mabenki majibu ni hayo hayo! na tume ya uchaguzi nayo majibu ni hayohayo! hivi sisi tumelaaniwa au nini hasa?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom