Matumizi ya Asali kwenye urembo wa sura yako

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,492
9,266
Leo tutaangalia nafasi ya Asali katika afya ya nyuso zetu na urembo kwa ujumla wake

ASALI ni chakula kitam kitokanacho na nyuki kwa kutumia nekta au maji yenye sukari yatokanayo na maua.

KUNA NIN NDANI YA ASALI?

Katika asali kuana aina kadhaa ya madini magnesium, Potasian, CalciumChumvi aina yaklorini (Sodium chlorine) Salfa Chuma na fosfet

ZAIDI YA HAPO?

Virutubisho vya nyongeza katika asali ni vitamin. B1,B2, C, B6,B5 na B3 ambavyo hubadilika wingi wake kutegemea ubora wa NEKTA

ASALI KATIKA UREMBO WA SURA

Wakina Dada wengi wameamua kuachana na vitu vya asili katika masuala mazima ya urembo wamekuwa wakikimbilia vipodozi ambavyo ndani yake kumekuwa na kemikali nyingi sana na wakina dada hao wakajikuta wanapoteza kabisa uzuri Wa sura zao wengine huungua, kubakiwa na mabaka, wengine hushindwa kutembea juani kwasababu huumia macho na ngozi zao pia kwasababu teyar wanakuwa wameshaatibu kinga zao za ngozi

Maranyingi matabibu hukemea hali hiyo hata mashekh na viongoz mbambali wa kidini hukemea Mimi nakwambia tumia njia wewe unayetaka kutunza ngozi yako .

Chukua asali changanya na limao, ute mweupe wa yai koroga na maziwa ya mtindi (Yogurt) kama utakuwa nayo pakaa usoni na uache mchanganyiko ukifanya kazi kwa dk 15 baada ya hapo utanawa kwa maji ya uvugu vugu na kisha osha kwa maji ya barid yaliyotoka katika jokofu tumia mchanganyiko huo kwa muda wa wiki 2 utayafurahia matokeo.

Nakujuza blog
 
Ila bila hata maziwa majibu mazuri unayapata
 
Back
Top Bottom