Matumizi saba ya baking Soda ( Magadi Soda)

Matumizi mengine pia wakaka wadada wale wenye harufu za miguu changanya/ koroga baking soda kama vijiko viwili na maji kwenye kikombe size ya kile cha chai kisha osha miguu yako inakata harufu kabisa hii njia pia ni applied kwa mdada asiyependa kale kaharufu ka asili ka samaki ktkt papuchi ila kwa matokeo mazur zaid kwa wadada changanya na kijiko kimoja cha apple cider vinegar...waweza nyunyizia b.soda katikat ya vidole kabla ya kuvaa viatu kukata harufu na pia kwa matatizo ya fungus...ina matumizi zaid ya 50 just google na utashangaa sana .!
 
kwa kuondoa weusi kwenye ngozi eg kwapa...... changanya baking soda na maji ya limao utengeneze paste. pakaa kwa 20m futa kwa taula na maji. do it once daily for better results
 
Mimi nimeutafuta nimeikosa kwan inauzwa maduka gani
Ni hiyo hapo kwenye picha imenisaidia sana kwenye u.t.i nikichanga na apple cider vinegar oganic
1567187089925.jpeg
 
Kwa wale wanawake wenye kutoa harufu sehemu zao za siri. Je hawawezi tumia baking soda kuondoa harufu hiyo?
 
Back
Top Bottom