Matumizi mabaya ya ofisi ya Umma

JERUSALEMU

JF-Expert Member
Sep 19, 2012
3,106
3,523
Habari wanajamvi!

Naona imekuwa kawaida sasa kwa viongozi kuwabeza na hata kutumia Lugha kali kwa watumishi wa umma na kuona wao ni wenye haki kwa kila jambo. Kazi ya kwanza ya kiongozi wa umma ni kuhakikisha anaenenda na kutimiza majukumu yake kwa mujibu wa KATIBA YA JAMHURI WA MUUNGANO WA TANZANIA. Watumishi wa serikali wameingia mkataba na serikali katika utumishi wao. Kila mmoja ana wajibu wa KIKATIBA wa kutekeleza. Mikataba ya kazi na ajira ni sharti iheshimiwe.

Mwaka wa Tatu sasa unapita bila watumishi wa serikali kupewa annual increment ! Wakati gharama za maisha zimeongezeka mara dufu. Wafanyakazi wakilalamika wanakejeliwa kwamba wakiona mshahara hautoshi waache kazi! Hiyo siyo Lugha ya kiunguana kwa mtu yeyote anaye tumikia umma. Kiburi cha madaraka na mamlaka ni chukizo kwa Mungu.

Awamu hii imekuwa ni kawaida kwa wastaafu kutolipwa mafao yao. Ile siyo hisani ni fedha zao walizo kuwa wanakatwa kila mwezi kwa muda wote wa utumishi wao.

Vyama vya wafanyakazi ni kama havipo! Wametosheka na michango yetu. Kama mmeshindwa kutetea maslahi ya watumishi na wastaafu wekeni wazi. Haiwezekani mtu mmoja avunje mikataba ya utumishi halafu mkae kimya kwakuwa ninyi mnaneemeka na michango ya wafanyakazi. Kama majadiliano yameshindikana , chukueni inayo fuata.
 
Sio hili tuu endelea na kero zinginezo. Kwani zipo nyingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kimsingi taasisi za kiungozi za Nchi yetu zinaangalia matumizi mabaya ya ofisi za umma kwa viongozi wa chini. Hata kushindwa kutimiza majukumu yako ni matumizi mabaya ya ofisi za umma. Huwezi kuwalipa watumishi nauli za likizo, mishahara kulingana na mahitaji ya soko, kuwapandisha madaraja na kutoa Lugha za kejeli hakika ni matumizi mabaya ya mamlaka na madaraka.
 
Wengine ni hawa mabosi wanawake wanatufosi kuwahi ofisini unafika unamkuta, mko wawili tu anakuvulia chuppi unamto.mba weeeee cha mezani ofisini kwake, haya ni matumizi mabaya sana ya ofisi
 
nataka nifahamu hao mawaziri wapumbavu ni akina nani.... pia ni hatari kuongozwa na watu wapumbavu....
 
Back
Top Bottom