Matumizi mabaya ya kodi, TBC taarifa ya habari ni CCM tu

KAWETELE

JF-Expert Member
Dec 11, 2015
678
1,595
serikali ya awamu ya 5, imejikita katika kuhakikisha tunalipa kodi. hatukatai lakini inauma pale kodi zinapotumika kwa manufaa ya chama.

waandishi wa TBC leo kazi moja kujikomba. inatosha kwa vyombo vya umma kusifia serikali ya CCM lakini siyo kuegemea mno kwenye chama hicho.
shughuli ya leo ni ya chama siyo ya serikali.

nb. nipo ugenini nashindwa hata kuwaambia wenyeji wangu wabadili chanel. wao ni wanazi wa CCM.
 
Umeanzaje kuangalia TBC CCM,wakati TV yetu pendwa ITV ipo.?
 
Hapo Nimeshangaa Ila Rais Amekuwa Na Kauli Tata
Kuhusu Mambo Kwenda Kombo Hasa Wanapojikomba Kwa Ccm
 
Kajinyonge, kutoipenda ccm ni sawa kuchukia dawa kwa uchungu wake lakini ukiumwa lazima uitafute tuu
 
Kuichukia CCM ni sawa na kuwa na Mzio (Alergy) na hewa ya Oxygen halafu bado ukatamani kuendelea kuishi
 
Back
Top Bottom