Matumizi mabaya ya gari la serikali........!!

Masaki

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,463
752
stk.jpg

Mwenye macho haambiwi tazama. Picha inajieleza yenyewe! Je tutafika huko tuendako?
 
serikalini kila mtu anafanya anavyojisikia. Hivi ni gari ya ofisi gani hiyo?
 
Mnashangaa hiyo, mbona wakati wa uchaguzi waliweka namba za binafsi wakasahau za vioo !! ha ha bongo bwana! usanii kwenda mbele
 
Kama m k w e r e alitumia gari za Ikulu kwenye kampeni za uchaguzi 2010,mnatarajia nini kwa watumishi aliowachagua?
 
Waacheni tu wazitumie kibinafsi, kiukweli serikali sijui hakuna hela maana hawa madreva wanakula msoto sana wanakaa chini ya miti tu kucheza bao na drafti, safari wahuna, mafuta ya ngama familia zao sijui wanazilisha nini zaidi ya mshahara.
 
Unataka kubariki posho?
 
sema unachotaka kusema sasa!!
 
sio ajabu ni kawaida yao wakati wa uchaguzi hufanya hivyo hata mimi nimeshaona mara nyingi
 
si afadhali huyo aliamua kujimilikisha kwa plate number fake...wengine wanakesha nayo bar na maplate namba ya Jamhuri kama yalivyo
 
Magari ya vyombo vya dola wakati mwingine uwa yanatumia namba za private ili yasijulikane kama yapo kwenye special operation.
 
Back
Top Bottom