Matumaini ya Tundu Lissu kurejea September 7,2019 yafifia

Ndugu zangu,

Kuna kila dalaili Lissu akaendelea kubaki ughaibuni ambapo inasadikiwa atakuwa "akibeba box" kwenye NGOs huko majuu.

Siku zinaenda kasi sana na kama mambo yakienda kama Lissu atakavyo sasa mshindi atakuwa Mbowe kwani hatakuwa na mpinzani uenyekiti ndani ya Chadema katika miaka ya karibuni.

Nawasilisha.

We bana na cheap propaganda zako una-dilute viwango vya hili jukwaa. Why the .... dont u shut the .... up? Unahara hara tu all the time, tena cholera!
 
Ndugu zangu,

Kuna kila dalaili Lissu akaendelea kubaki ughaibuni ambapo inasadikiwa atakuwa "akibeba box" kwenye NGOs huko majuu.

Siku zinaenda kasi sana na kama mambo yakienda kama Lissu atakavyo sasa mshindi atakuwa Mbowe kwani hatakuwa na mpinzani uenyekiti ndani ya Chadema katika miaka ya karibuni.

Nawasilisha.
Hilo limajaa halirudi,
 
Aje, hasije, tujualo ni kwamba Mungu alimwokoa na mauti iliyoandaliwa na watesi wake. Hilo linatosha.
 
Fulishi.
Ticket ipo mkononi
Hakuna sababu inayohalalisha mauaji ya RAIA, kutekwa na kupotezwa.
Barabara tutajenga tukiwa na tabasamu sio machozi
Bora yenu JPM anawalea Mimi ningefanya vingine ikiwa ni pamoja na kuwaorodhesha kwenye orodha ya Mafisadi wa Maendeleo. Haijawahi kutokea Muhasi wa nchi kaachwa ni TZ tu. Kenya haipo, Marekani haipo, ukitaka kujua nenda Gwantamo
 
Ndugu zangu,

Kuna kila dalaili Lissu akaendelea kubaki ughaibuni ambapo inasadikiwa atakuwa "akibeba box" kwenye NGOs huko majuu.

Siku zinaenda kasi sana na kama mambo yakienda kama Lissu atakavyo sasa mshindi atakuwa Mbowe kwani hatakuwa na mpinzani uenyekiti ndani ya Chadema katika miaka ya karibuni.

Nawasilisha.
Akili ndogo.
 
Ebu tumwache Lissu ameteseka ya kutosha! Hamwezi hata kuwafikiria watoto na mke wake?
Watanzania tumekuwa na roho gani? Siasa hata kwa mambo yasiyohusu siasa?
 
Ndugu zangu,

Kuna kila dalaili Lissu akaendelea kubaki ughaibuni ambapo inasadikiwa atakuwa "akibeba box" kwenye NGOs huko majuu.

Siku zinaenda kasi sana na kama mambo yakienda kama Lissu atakavyo sasa mshindi atakuwa Mbowe kwani hatakuwa na mpinzani uenyekiti ndani ya Chadema katika miaka ya karibuni.

Nawasilisha.
Unarudije mahali umenyea kambi. Unazunguka dunia nzima unachafuwa serikal alafu urudi? Urud wapi sasa asome vizur viapo vyake
 
Binafsi sina huruma na Tundu Lisu, na sijali kitakachomtokea.

RIP wote waliotangulia kwa ajali ya moto!
Hii ni kama Hutu na Tutsi naaona imehamia Tanzania. Zamani tulikuwa tunapingana kwa hoja sasa hivi chuki mtu anatamani hata kutoka roho ya mwenzake. Ni nani aliyeleta hii ?
Kama mmefikia hali ya kuwa na chuki kiasi hiki tutegemee ya Rwanda si muda mrefu.
 
Unarudije mahali umenyea kambi. Unazunguka dunia nzima unachafuwa serikal alafu urudi? Urud wapi sasa asome vizur viapo vyake
Hii nchi siyo mali yenu CCM na ******** ni mali yetu wote na wote tuna haki sawa kwenye nchi hii.
Sikumbuki kama amesema nchi yake ; yeye amesema serikali na serikali inaweza kubadilika kama viongozi wanavyobadilika lakini Tanzania itabaki Tanzania ya watanzania hakuna mwenye hatimiliki ya nchi hii Bali ni mtanzania
 
Back
Top Bottom