Matumaini ya Tundu Lissu kurejea September 7,2019 yafifia

Akili za kushikiwa utazijua tu, huyu dada naye eti ndio thinktank wa lumumba!
 
Kwa kilichotokea halafu mtu unakuja na bandiko kama hili, ukimuita mtu kama huyu imbecile, ni kumtukana?.
Tuko kwenye national tragedy wewe unakuja na hii?!
Please!.
P
Ndio maana jana nimeanzisha uzi kuwasema watu kama hawa. Jamiiforums inaanza kukaukiwa great thinkers
 
Ndugu zangu,

Kuna kila dalaili Lissu akaendelea kubaki ughaibuni ambapo inasadikiwa atakuwa "akibeba box" kwenye NGOs huko majuu.

Siku zinaenda kasi sana na kama mambo yakienda kama Lissu atakavyo sasa mshindi atakuwa Mbowe kwani hatakuwa na mpinzani uenyekiti ndani ya Chadema katika miaka ya karibuni.

Nawasilisha.
Wishful thinking?
 
Zima zima proper propaganda
 
I though you'd say sorry, you didn't know what has just happened!.
Hata hivyo, asante kunisamehe!, ila kiukweli kuna mijutu ina roho mbaya sometimes hata shetani ana afadhali!.

P
Duh, Paskali leo ndio nimeona kwa mara ya kwanza ukikwazika kiasi hicho. Hata hivyo nakupa pole, kuna watu ambao siku zote wanawaza 'ujinga-ujinga ' tu.

Vv
 
Mkuu, sijawahi kukuona umechukia kiasi hiki na ukaonesha kuwa umechukia.
Ulevi wa madaraka na kujifariji ndo sababu kuu.

Hata kama mtu hampendi, sio uungwana kumkejeli mwenzake akiwa katikati ya maumivu makali ya kimwili, kiakili na kiuchumi.

Msamehe bure na mwombee kila la kheri.
Kwa kilichotokea halafu mtu unakuja na bandiko kama hili, ukimuita mtu kama huyu imbecile, ni kumtukana?.
Tuko kwenye national tragedy wewe unakuja na hii?!
Please!.
P
 
Mbona hamjamuuliza source ya habari yake.. mmekimbilia kumshushia maneno machafu!!! Inaonyesha huko nyie wapinzani mtakakiwa mjipime kwanini hampo pamoja na pia kuona kaandikwa Mbowe.. mmekasirika kama vile mnaweza kumtoa..

Shame
 
hivi huyo lissu hata abaki tu hukohuko maana keshaichaufua nchi utakkaje na jirani yako ukaanza kuhadithia mambo ya kuizaririsha familia yako kama akilizakohazitokei kule nyuma kunakotokea chakula cha nzi hana akili kabisa lissu
Lissu alijipiga risasi 38? Ndiye ameua Kibiti na kwingine? Akaanza kumtetea Ben Saanane?
Ukiwa muongo uwezo na kumbukumbu.
 
Ndugu zangu,

Kuna kila dalaili Lissu akaendelea kubaki ughaibuni ambapo inasadikiwa atakuwa "akibeba box" kwenye NGOs huko majuu.

Siku zinaenda kasi sana na kama mambo yakienda kama Lissu atakavyo sasa mshindi atakuwa Mbowe kwani hatakuwa na mpinzani uenyekiti ndani ya Chadema katika miaka ya karibuni.

Nawasilisha.
Peleka umbeya wa kike mbali
 
I though you'd say sorry, you didn't know what has just happened!.
Hata hivyo, asante kunisamehe!, ila kiukweli kuna mijutu ina roho mbaya sometimes hata shetani ana afadhali!.

P
Tulishaambiwa maana ya Mayalla kwa kisukuma ni njaa hatujui kama njaa ilimkuta huyu Pascal akamaua kukaa upande wa wenye shibe ili wamshibishe
 
I though you'd say sorry, you didn't know what has just happened!.
Hata hivyo, asante kunisamehe!, ila kiukweli kuna mijutu ina roho mbaya sometimes hata shetani ana afadhali!.

P
Tulishaambiwa maana ya Mayalla kwa kisukuma ni njaa hatujui kama njaa ilimkuta huyu Pascal akamaua kukaa upande wa wenye shibe ili wams
 
Back
Top Bottom