Maajabu yanaweza tokea, sema samara tayari kuna kilabu kimoja kule Uturuki kinataka kumewekwa dau kijana, mimi na shauri asiondoke ligi ya Uingereza soka lipo paleUkiangalia msimamo wa EPL mwaka huu Kuna dalili nzuri ya ASTON VILLA kusalia ligi kuu.
Nafasi ya:-
16.Westham -37 pts
17.Aston Villa-34 pts
18.Watford-34 pts
19.Bournemouth-31 pts
20.Norwich-21 pts
Sasa mechi za kufunga msimu ni:-
Arsenal vs Watford
Westham vs Aston Villa
Je, Watford atamfunga Asernal ili afikishe point 37 asalie ligi kuu na huku akimuombea Aston Villa Afungwe au atoe draw?
Ikitokea Watford akafungwa na Asernal na Aston Villa akapata hata draw tu bus hapo inakuwa chereko,vifijo na nderemo kwa Aston Villa kusalia EPL kwa msimu mwingine Tena.
Tusubiri na tuone maajabu ya mpira.
Pole sana. Jikaze kisabuni
Ponapona ya aston villa ni leo hii West ham wamkomalie Man U ili wasalie Ligi kuu, wakshindwa leo karata nyingine ni Arsenal sasa kumshinda Watford, vinginevyo Aston villa hataweza mshinda WesthamUkiangalia msimamo wa EPL mwaka huu Kuna dalili nzuri ya ASTON VILLA kusalia ligi kuu.
Nafasi ya:-
16.Westham -37 pts
17.Aston Villa-34 pts
18.Watford-34 pts
19.Bournemouth-31 pts
20.Norwich-21 pts
Sasa mechi za kufunga msimu ni:-
Arsenal vs Watford
Westham vs Aston Villa
Je, Watford atamfunga Asernal ili afikishe point 37 asalie ligi kuu na huku akimuombea Aston Villa Afungwe au atoe draw?
Ikitokea Watford akafungwa na Asernal na Aston Villa akapata hata draw tu bus hapo inakuwa chereko,vifijo na nderemo kwa Aston Villa kusalia EPL kwa msimu mwingine Tena.
Tusubiri na tuone maajabu ya mpira.
Na matatizo ya Arsenal siku zote tunayajua.Aston Villa kuchomoa kwa wwstham sio kazi nyepesi
Arsenal atachomoa betri, atafungwa na watford na Villa kumfunga West ham ni kazi nzito
Kubaki kwa Villa asilimia kubwa kupo mikononi mwa arsenal na everton. Arsenal akimfunga watford ushindi wowote na villa akifungwa 1-0 halafu kule buonermouth akifungwa au draw na everton villa anabaki.Arsenal wanachukua 3 points na Aston Villa wanachukua 3 points hivyo kubaki kwenye EPL.