Matumaini mapya kwa wanafunzi wa sekondari.

swahili state

JF-Expert Member
Oct 14, 2014
261
146
Yule mwalimu bora wa History na Geography aliyezunguka mikoa mingi ikiwemo mikoa ya kanda ya ziwa sasa amerejea katika jiji la Dar-es-salaam ili kuwasaidia wanafunzi wa o-level na advance.
Kwa sasa,amefungua kituo kikubwa sana katika eneo la Tabata,Segerea mwisho.
Pia,kituo kina walimu wa masomo yote ya Sanaa,sayansi na biashara.
Wanafunzi wa advance watakaojiunga kwenye centre watasoma bure Basic applied mathematics na General studies.
Kila jumamosi kutakuwa na solving za history na bam buree.
Kwa wenye uhitaji watani pm.
 
SHULE YA SEKONDARI MAURICE inawatangazia wazazi na walezi wote kwamba tunapokea wanafunzi kidato cha kwanza mwaka 2019, nafasi za kuamia kidato cha kwanza na cha pili pia tuna kituo cha mitihani kwa watahiniwa wa kujitegemea na Q.T. Vile vile pia tunapokea wanafunzi wa kidato cha tano kwa michepuo ya ECA, HGE, HGK, HKL na HGL. ADA ni nafuu sana. Shule ni ya kutwa na bweni kwa wavulana na wasichana. Shule ipo Dar es salaam wilaya ya temeke, eneo LA mbande kisewe. Simu 0785907371. Wote munakaribishwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom