Matukio yasiyoihusu CHADEMA na mtazamo wa JF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matukio yasiyoihusu CHADEMA na mtazamo wa JF

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Malaria Sugu, Jul 19, 2012.

 1. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  1.Alipofariki Kamanda Rejia Mtema (R.I.P),JF ilikuwa very hot kujulishana kila kilichokuwa kinaendelea ikiwa ni pamoja na michango ie kukusanya rambi rambi,kushiriki hatua zote za mazishi na mambo mengine alimradi ushiriki wa JF uonekane.PICHA YA REJIA ILIKAA HAPA KWNY SCREEN KWA MUDA MREFU SANA KUONYESHA OUR CONCERN NA CONCERN YA JF.

  2.Alipofariki Kamanda Bob Makani JF ikawa tena hot kuhabarishana msiba huo mzito wa chama na ht watanzania kwa ujumla,tulilia na kuanguka kwa uchungu.MENGI YALISEMWA.

  Mtanikumbusha matukio mengine.  swali...kwanini uongozi wa JF hauonyeshi kuguswa na matukio mengine kwa uzito sawa na matukio kama yale yanayoihusu chadema????????????????

  tukio kama hili la kuzama kwa meli na hatimaye watanzania mamia kupoteza maisha ingefaa JF (sio wana JF) kuonyesha kuguswa haswaaa ukizingatia JF ni ya watu wote.

  My take;JF iyape uzito sawa matukio yote kwa usawa yanayotokea hapa nchini.
   
 2. T

  Twigwe Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Oga ukalale, utapatawapi picha za hao marehemu na kila mmoja anakuja na taarifa yake Nchimbi anasema 7 wamekufa, makinda anasema bado hajapata taarifa!! siasa tuuuu!!
   
 3. m

  msolopa ganzi Member

  #3
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 57
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  naona chupi imeishaanza kumbana huyo mleta mada!!
   
 4. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Wakwanza kulaumiwa ni wewe, kwanini hukutafuta hizo taarifa uzilete jukwaani? Mbona taarifa za muhimu tulizipata mapema sana kupitia jukwaa hili? Hakuna mtu aliyeajiriwa JF ili kuleta habari fulani, kila member anajukumu la kuleta habari ya uhakika na kuituma kwenye jukwaa husika.
   
 5. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,347
  Trophy Points: 280
  Mkuu wewe kweli mgeni hapa JF.
  Political leanings za humu ndani zinajulikana wazi.
  Cheki matusi yanayokujia!
   
Loading...