Matukio yaliyotikisa Tanzania tokea tupate uhuru

Waziri wa Fedha kusema wananchi wale majani kuliko ndege ya Rais isinunuliwe
 
Mawaziri na wabunge waliofichua ufisadi kupewa onyo kali na spika na mafisadi kusifiwa
 
Meno ya tembo kukamatwa kila kukicha china na hong kong yakitokea tanzania, ili hali kagasheki akijisifia kumaliza uharamia kwa wanyama
 
Raisi kula mieleka majukwaani! Mara mbili Jangwani na Mwanza.....teh hadi msafara wake wamemuongezea na Ambulance sa hivi
 
watu kufa kwenye mikutano ya siasa kwa kupigwa na vitu vizito/vitu vyenye ncha kali vinavyoenda kwa kasi mno..hadi leo hii halijapatikana jina halisi wala source ya vitu hivyo.!!
 
nchi yenye vyama vya siaa vyenye majina ya kiingereza huku lugha ya taifa ni kiswahili..eg TLP and CUF
 
Kuna kitabu kinaitwa WORLD GUINNESS BOOK. Kitabu kile kinaandikwa mambo yasiyo ya kawaida.
sasa hebu nasisi tuandike mambo/matukio unayoona sio ya kawaida...

Mii naanza kama ifuatavyo

1. Mh. Seif Sharif Hamad ndio mtanzania aliegombea urais mara nyingi na kushindwa mara zote. amegombea mara nne sawa na miaka ishirini.

2. Babu wa Samunge Loliondo ndio binadamu anayeshikilia record ya kutembelewa na watu wengi kwa mara moja.. Babu huyu aliwahi kutembelewa na wageni zaidi ya 2175 kwa siku moja!!!! Na kwa karibia miezi mitatu babu huyu alipokea zaidi ya wageni 1500 kwa siku moja.

Enhee nawewe mwaga jambo la ajabu unalolifahamu hasa kwa hapa bongo.. na ikiwezekana na mhusika.
 
Back
Top Bottom