Matukio ya picha toka viota vya marahai weekend hii

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
3.JPG 4.JPG 6.JPG _MG_8956.JPG 2.JPG
attachment.php
 
Attachments

  • 10.JPG
    10.JPG
    186.4 KB · Views: 643
  • 1.JPG
    1.JPG
    48.4 KB · Views: 1,479
Hapo mwanzo dunia ilpoumbwa binadamu walikua wanatembea uchi! sishangai kama sasa hivi dunia inarudi kulekule tulipotoka ni kama tunavyoona kizazi hiki kinachojiita kipya kuanza kuvaa nusu uchi! MOLA Tusaidie tujue hiki kizazi kinakwenda wapi:help::pray:
 
Mkuu huyo binti aliyevaa kachupi nje nje namjua, yupo mtaani kwetu anaitwa Tina, aiseee................baba yake mlokole!!
 
mwisho wa dunia unapokaribia mambo yanakuwa kizungumkuti!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Tahadharitu kwa wale wala bata, kunahaja ya kua makini manake unaeza jikuta hapa ukiwa umembambia mke/mme wa mtu af mkeo/mmeo anakuview2. manake El Toro sasa watisha.
 
Ungepita na mahali fulani twanga wanapiga kila j'mosi...ni aibu..
 
Mkuu huyo binti aliyevaa kachupi nje nje namjua, yupo mtaani kwetu anaitwa Tina, aiseee................baba yake mlokole!!

Oh!Tina njoo utulize mtima wa moyo wangu!naomba namba yake ya simu please!!
 
Hapo mwanzo dunia ilpoumbwa binadamu walikua wanatembea uchi! sishangai kama sasa hivi dunia inarudi kulekule tulipotoka ni kama tunavyoona kizazi hiki kinachojiita kipya kuanza kuvaa nusu uchi! MOLA Tusaidie tujue hiki kizazi kinakwenda wapi:help::pray:

Si kweli walivaa majani na magome ya miti, rejea hadithi Adam na Hawa.
 
ukitaka kwenda kunyoosha macho na kuchakachua ubongo kwa vichupi tembelea pande za Kunduchi Beach Hotel (Wet n' Wild) utachoka mwenyewe na mapaja ya watoto wa kibongo
 
attachment.php

Mi naomba tu kuuliza hivi hawa wadada wa siku hizi bila ya kuonyesha chupi zao huwa hawajisikii vizuri?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom