Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature currently requires accessing the site using the built-in Safari browser.
Jamaa ana mpunga sio wa kuebeza jamani..ameanza mbali sana kujipanga........jamaa ndio alio mbeba Ngeleja hadi hapo alipo...kama mnataka dataz..ulizeni watu wa sengerema usikie...hadi leo shija analia....haamini yaliomtokea hizo ni nguvu za RA
Ngeleje hakubebwa na mtu...,
Siasa za kanda ya ziwa huzijui Vizuri tuulize sie tunaozijua haswa...
...kuhusu kusaidiwa na RA,hili ni suala la kila mtu sababu Mhe. RA alitoa Mchango kwa kila mtu wa kambi ya wanamtandao tena baada ya kura za maoni za CCM.
Kwa kiasi kikubwa kampeni zake zilisaidiwa sana na marafiki zake wa kikundi cha Victoria Group ambapo hapo kabla alikuwa Mwenyeekiti wake...