Matukio ya nyota zetu.

Maalim Jumar

JF-Expert Member
Dec 28, 2010
1,260
1,250
Mambo ya nyota ukiyaamin sana unaweza kujikuta unagombana na mke wak ni hali ya kushangaza mtu anatabiri kuwa mke wak siku fulani au siku fulan kipat chako kitapungua ni Mamb ambayo hayapo
Nawe umetabiri.... Mambo usio yajua nafasi yako ni kuwa MUULIZAJI.
 

Miti7

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
306
500
Nilijua utakua ujui unachokiuliza... Wakat mwengine ujui hata unachokitaka kuijua.

Alaf ukajitia kujua ilhali ujui.

Ni. Kazi sana kuwaelewesha watu sampuli yako.

Jinn ina maana zake... Miongoni wa maana hizo ni kitu kufichikana.

Ww unataka kuona kitu kilichofichikana....

Nan JAHILI hapo!!!

Uliza maswali kama MJINGA ili ufundishwe acha kuiga tabia za KISHETANI mbele za werevu.
Peleka ujinga wako huko

Wadanganye wajinga wenzio huko mitaani

Umeambiwa Weka picha ya jini wewe unaleta maelezo mengi ya kitopolo tu

Ungekuwa na akili ungeandika vizuri uzi wako kwa kutulia siyo vimistari viwili ndiyo umshawishi nani sasa
 

Miti7

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
306
500
23 Nov - 20 December

Huu utabiri umezingatia nini?

Kuna msimu au tukio gani la kisayari na kinyota kati ya Nov 23 hadi Dec 20?

Utabiri kamili huwa ni wa siku, wiki, mwezi au mwaka

Sasa huo wako sijuwi umezingatia nini ndiyo maana nasema wewe ni muongo
 

Miquel

JF-Expert Member
Jul 12, 2021
774
1,000
WTF is this?!.
Haya mambo yalinipoteza sana kipind cha nyuma.

Hayatakiwi kuaminiwa hata kdg.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom