Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 10,327
- 6,849
Matukio ya Asili (Natural Disasters) kawaida huwa hayana pattern
Tukirudi sasa kwenye matetemeko MAKUBWA ambayo yameanza kutokea hivi karibuni nchini
Kuna moja liliwahi kutokea Dodoma nadhani ilikuwa June 2016 likaharibu nyumba, lilikuwa la nchi kavu, japo sikumbuki kama lilikuwa na ukubwa unaoweza kulingana na haya yanayoendelea kutokea majini. Nadhani mpaka muda huu, ni tetemeko moja tu kubwa, ambalo limeshatokea nchi kavu.
Ukiangalia Historia ya matetemeko makubwa ndani ya nchi yetu,utaona kuwa kubwa la mwisho lilitokea mwaka 1913 huko Katavi, halafu likafuatiwa sasa na Ziwa Tanganyika mwaka 2005. Kwa kipindi cha takribani miaka 100, hatukuwahi kuwa na matetemeko makubwa iwe ni majini au nchi kavu, pamoja na kuwa kweli tuko kwenye ukanda wa matetemeko.
Hii sasa inaonyesha kuwa kuna haja ya kufanya utafiti wa kina kuhusu chanzo cha matetemeko haya. Ni kweli tuko kwenye ukanda wa matetemeko lakini hapo awali hapajawahi kutokea chanzo (source) ya matetemeko makubwa ukanda wa Pwani ya Dar es Salaam, na sina uhakika kama palishawahi kuwa na source yoyote ile ya matetemeko hata yale ambayo ni madogo. Hata hivyo naomba nikiri kuwa mimi siyo professional pia kwenye maswala ya Jiolojia au Jiofizikia, ila ninatumia mwanga tu kidogo wa elimu yangu ya kwaida pamoja na common sense.
Hizi source zinazoanza kuibuka hivi sasa, kuna haja ya kuziangalia kwa macho mawili, moja la kitaalam (professional eye) na jingine la ki-intelijensia (intelligency eye).
- Katika hali ya KAWAIDA, matukio ya asili huwa hayana pattern
- Hii haimaanishi kuwa hayatakiwi kuwa na pattern hapana, yanaweza kuwa na pattern ILA NI KATIKA HALI ISIYO YA KAWAIDA TU; the unexpected always occurs
- Na ikishakuwa ni katika hali isiyo ya kawaida, wakati mwingine (siyo mara zote) kunaweza kukawa na CAUSE ambayo inaweza isiwe NATURAL na ambayo inabdi ifanyiwe utafiti wa kina
Tukirudi sasa kwenye matetemeko MAKUBWA ambayo yameanza kutokea hivi karibuni nchini
- Tetemeko la Ziwa Tanganyika, Desemba 2005; ndani ya maji, Ziwa tanganyika
- Tetemeko la Dar es Salaam (June 2012); baharini kwenye maji
- Tetemeko la Kagera (Septemba, 10, 2016); majini ndani ya Ziwa victoria
- Tetemeko la Dar es Salaam (12 August 2020); baharini kwenye maji
Kuna moja liliwahi kutokea Dodoma nadhani ilikuwa June 2016 likaharibu nyumba, lilikuwa la nchi kavu, japo sikumbuki kama lilikuwa na ukubwa unaoweza kulingana na haya yanayoendelea kutokea majini. Nadhani mpaka muda huu, ni tetemeko moja tu kubwa, ambalo limeshatokea nchi kavu.
Ukiangalia Historia ya matetemeko makubwa ndani ya nchi yetu,utaona kuwa kubwa la mwisho lilitokea mwaka 1913 huko Katavi, halafu likafuatiwa sasa na Ziwa Tanganyika mwaka 2005. Kwa kipindi cha takribani miaka 100, hatukuwahi kuwa na matetemeko makubwa iwe ni majini au nchi kavu, pamoja na kuwa kweli tuko kwenye ukanda wa matetemeko.
Hii sasa inaonyesha kuwa kuna haja ya kufanya utafiti wa kina kuhusu chanzo cha matetemeko haya. Ni kweli tuko kwenye ukanda wa matetemeko lakini hapo awali hapajawahi kutokea chanzo (source) ya matetemeko makubwa ukanda wa Pwani ya Dar es Salaam, na sina uhakika kama palishawahi kuwa na source yoyote ile ya matetemeko hata yale ambayo ni madogo. Hata hivyo naomba nikiri kuwa mimi siyo professional pia kwenye maswala ya Jiolojia au Jiofizikia, ila ninatumia mwanga tu kidogo wa elimu yangu ya kwaida pamoja na common sense.
Hizi source zinazoanza kuibuka hivi sasa, kuna haja ya kuziangalia kwa macho mawili, moja la kitaalam (professional eye) na jingine la ki-intelijensia (intelligency eye).
MUBARKIWE TENA NA BWANA