Matukio wakifanyiwa Yanga huonekana kawaida lakini yakitokea kwa timu nyingine huonekana ni dhambi

Song of Solomon

JF-Expert Member
Aug 5, 2021
2,733
5,490
Wengi wetu tunajisahaulisha(ni kitendo cha kujisababishia kupoteza kumbukumbu kwa makusudi)

Twende sote
Waamuzi wetu ndio hawahawa waliochezesha mechi ya round ya pili kati ya Yanga vs Azam msimu uliopita na Azam kushinda 1-0(Prince Dube)
Jiulize ndani ya mechi ile Yanga walinyimwa penati ngapi?
Usibishe kabla ya kuitazama tena hii mechi
Lakini haikuwa mjadala

Waamuzi wetu ndio hawahawa waliochezesha mechi ya Namungo vs Yanga kule Lindi msimu uliopita na Yanga kukataliwa goli lake kipindi cha pili(Yacouba Sogne)
Lakini haikuwa mjadala

Waamuzi wetu ndio hawahawa waliochezesha mechi ya Yanga vs Geita Gold na kukataa magoli mawili ya Yanga(Mayele na Yusuf Athumani)
Haikuwa mjadala

Waamuzi wetu ndio hawahawa waliochezesha mechi za timu ambayo ikiwa haijapata goli mpaka dakika ya 89/90 basi zitaongezwa dakika 5 za kwenye kibao lakini zitakazochezwa ni zaidi ya zile zilizooneshwa kwenye kile kibao na ile timu itapata goli
Lakini haiwi mjadala

Waamuzi wetu ndio hawahawa waliochezesha mechi dhidi ya Kmc vs simba na mchezaji wa simba Erasto Nyoni akarudisha mpira golini kwa Manula kisha Salum Kabunda akawa anauwahi ule mpira ili kufunga lakini akaambiwa yupo offside lakini vilevile kwenye mechi hii hii simba walipata penati mbili(moja tu ndiyo ilikuwa ni halali) lakini hata ile ya halali mwanzo mpigaji alikosa na akaambiwa arudie tena
Lakini vilevile haikuwa mjadala

Waamuzi wetu ndio hawahawa waliochezesha mechi ya Kmc vs simba na mpira kumgonga kiunoni mchezaji wa kmc kisha likawekwa tuta katika dakika ya 80+
Lakini vilevile haikuwa mjadala

Waamuzi wetu ndio hawahawa waliochezesha mechi ya simba vs Dodoma jiji na hawakutoa kadi yoyote ile baada ya kuonekana Kennedy Juma akiurusha mguu juu ya mchezaji wa Dodoma jiji
Lakini vilevile haikuwa mjadala

Waamuzi wetu ndio hawahawa waliochezesha mechi ya simba vs Namungo na hawakutoa kadi yoyote ile dhidi ya John Bocco akimchezea rafu mchezaji wa Namungo, Morrison kumpiga kipepsi mchezaji wa Namungo
Huku Manula naye akimfuata mchezaji wa Namungo na kumsukuma baada ya kutoka na kuukosa mpira katika eneo lake
Lakini vilevile haikuwa mjadala

Waamuzi wetu ndio hawahawa waliochezesha mechi za timu fulani ambayo wao ndiyo wanaoona wanastahiki kupata mipira ya penati kuliko timu nyingine yoyote ile kwenye ligi yetu
Lakini vilevile haikuwa mjadala

Waamuzi wetu ndio hawahawa wanaosababisha timu fulani ikipata sare/suluhu basi wahisi kuwa kuna hujuma na GSM wamewapa pesa timu wanazocheza nazo wao bila kuwaheshimu timu pinzani
Yaani hii timu yenyewe inaona ndiyo ina haki ya kushinda tu kuliko timu nyingine yoyote ile
Hili nalo pia halikuwa mjadala na hata wale wacha-MBUZI eti nao walidai kuwa hii timu inakamiwa

Waamuzi wetu ndio hawahawa wanaochezesha mechi za Yanga na kupata sare wakati mwingine ni za makusudi, mechi dhidi ya Namungo msimu uliopita pale Lindi, mechi dhidi ya Mbeya City msimu uliopita pale Mbeya,
Biashara vs Yanga kule Mara goli la Yanga linakataliwa na Yanga kuishia kupoteza ile mechi
Lakini vilevile si mjadala
Na wala huwezi kusikia mashabiki wa Yanga wakisema kuwa hizi sare au suluhu ni kwa sababu Mo Dewji ametumia pesa kwa timu pinzani ili ziikamie Yanga

Matukio yaleyale ya kudhulumiwa wakifanyiwa Yanga huonekana kama ni kawaida vile lakini yakitokea kwa timu nyingine huonekana ni dhambi kubwa
TUACHE KUJISAHAULISHA
 
Huna akili wewe ndezi huwezi kiharalisha kosa la mwingine kwa lakwako. Badala yakukemea unalata majungu
 
Ni sahihi. Lakini melts mada anajaribu kutukumbusha kuwa waamuzi ni walewale wenye kukosea kila siku. Mwaka juzi Simba alibebwa hadi wana Simba wenyewe hawakufurahi. Tena mfululizo. Possibly ni makosa ya marefa na sio hujuma. Mfano gorilla la Mayele lililokataliwa didi ya Geita hold lilikuwa na kosa gani? Uliibuka mjadala?
Mkuu, kosa halihalalishi kosa. Hauwezi kuhalalisha penati ya uongo eti kwa kuwa mwaka juzi uliadhibiwa kwa penati ya uongo. Kila mechi ni mpya na inatakiwa ifuate sheria za mchezo kwa ukamilifu
 
Sheria ifuatwe kwenye mpya tu hizo nyingine hazikuwahi kuwa mpya teh teh teh!

Bongo raha sana....
 
Ni sahihi. Lakini melts mada anajaribu kutukumbusha kuwa waamuzi ni walewale wenye kukosea kila siku. Mwaka juzi Simba alibebwa hadi wana Simba wenyewe hawakufurahi. Tena mfululizo. Possibly ni makosa ya marefa na sio hujuma. Mfano gorilla la Mayele lililokataliwa didi ya Geita hold lilikuwa na kosa gani? Uliibuka mjadala?
Mkuu mjogoro simba ndy timu inayoongoza kupata feva za maamuzi mabovu nchi hii since mvaa shanga na kanga baada ya kutekwa a take incharge
 
Hapo!
FB_IMG_1637525326338.jpeg
 
Ni sahihi. Lakini melts mada anajaribu kutukumbusha kuwa waamuzi ni walewale wenye kukosea kila siku. Mwaka juzi Simba alibebwa hadi wana Simba wenyewe hawakufurahi. Tena mfululizo. Possibly ni makosa ya marefa na sio hujuma. Mfano gorilla la Mayele lililokataliwa didi ya Geita hold lilikuwa na kosa gani? Uliibuka mjadala?

Eti wanasimba hawakufurahi,Uto huwa mna nini lakini? Tangu lini Simba ikabebwa,na huko CAFCL ilikuwa inabebwa na nani? Kwa taarifa yako,Wana Simba hawajawahi “kutokufurahi” hata siku moja kwa mujibu wa comment yako hapa.
 
Pia uwe unakumbuka sana kuwa Namungo alinyimwa penalty mbili za wazi katika mechi hiyo hiyo uliyobebwa kwa kupewa penalty ya mchongo

Back
Top Bottom