Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Kuna mtu aliuliza mahali ni Ishara gani iliwaonesha kuwa ni lazima tu Lowasa atashinda Urais?
Wote wamepigiwa kura
 
Nimekereheka sana na Star Tv,kituo nilichokua nikikipenda na kukishabikia,kumbe silolote,kimesheheni ushabiki usiopata kuelezeka unaoweza kuleta kutoelewana.Nilitegemea vijana wao wangejifunza kutoka watangazaji wa BBC,Channel Ten,ITV na Azam TV (japokua unapatikana kwa shida huku kwetu).
 
Pole sana kiongozi wangu mteule Mh.Magufuli,
kazi iliyombele yako ni mlima wa Kilimanjaro, ni sawa na kutengeneza mkaa, kwa kuchoma majani ya mgomba.
Ushauri wangu kwako,Usisite kukaa na viongozi wa Ukawa, mpunguze tofauti zenu, si ajabu wana kundi kubwa la malofa ,walio nyuma yao ,ambayo ndiyo nguvu kazi ya kweli,kuliko hao waliokuchagua,ili, upate kuifanikisha ile slogan yako , ya 'sasa Kazi tu'.
Ninakuombea Afya njema na Mungu akujalie utulivu wa mawazo na hekima.
 
Pocha kama ujafanya tafiti usiongeze!! Yaani unasifia TV ambazo zinaonesha recorded, tune Azam Tv upate habari za instantly na zisizo na upendeleo! Tv zako hizo ni za mlengo wa mgombea fulani
Kila TV ilikuwa na upendeleo wa mgombea fulani. Msiwe wabishi mimi nasema hapa:-
ITV walilala sana kwa Mh......
StarTV kwa Mh. .....
Channel 10.........
EATV..........
Na kuna TV moja inaitwa Gwajima nayo ilipiga maombi moja kwa moja bila kuficha lakini wakabadilisha gia angani:hand:
 
Kila TV ilikuwa na upendeleo wa mgombea fulani. Msiwe wabishi mimi nasema hapa:-
ITV walilala sana kwa Mh......
StarTV kwa Mh. .....
Channel 10.........
EATV..........
Na kuna TV moja inaitwa Gwajima nayo ilipiga maombi moja kwa moja bila kuficha lakini wakabadilisha gia angani:hand:

Kwa hiyo? Kuna iliyovunja sheria ya nchi?

Nijuavyo sikuangalia TV fulani kwa sababu ya mwelekeo wa utangazaji wake.
 
Kwa hiyo? Kuna iliyovunja sheria ya nchi?

Nijuavyo sikuangalia TV fulani kwa sababu ya mwelekeo wa utangazaji wake. Uhuru huo ninao kisheria
 
WATU WENGI HAWAJAJITOKEZA KUPIGA KURA TENA NDIO MAANA TUNAZUNGUMZIA MAMBO YA MILLION 3 MPAKA SASA KATI YA MILLION 23 WALIJIANDIKISHA.

USHAURI:

Tume itangaze baada ya uchaguzi huu mwanainchi asiruhusiwe kutumia kitamburisho cha mpiga kura kwa shughuri yoyote ile zaidi ya kupigia kura tu. kufanya hivyo chaguzi zijazo watu watajitokeza.

Mliona misululu mirefu kumbe watu wengi walibaki majumbani.

Ulikuwa upo usingizini unaota?
 
kp27072015.jpg
naskia usingizi
 
Jaman naomba Taifa letu wajitambue kuwaza maendeleo ya Taifa sio siasa za mapema sizizo za maan haijen Taifa la Tanzania
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom