Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Nilifurahi sana nilipo msikia Jana lowasa: kipindi cha kampeni lowasa alisema Kazi yake ni kulinda kura tuuu sasa nashangaa mda huuu anaanza kubwabwaja eti kaibiwa kura.

kama kweli walikuwa serious na kutafuta urais ilitakiwa mda huuu wameshikilia idadi ya kura walizopata kutoka majimboni na kuoanusha na yanayotangazwa na tume ili watuaminishe lipi ni ukweli na lipi ni uongo sio wajalie kupiga kelele
 
Kupo Tupo Wengi TULIOPATA TAABU Kwa KUMPENDA Dr. Magufuli! Pole Sana Mkuu ILA Kilio Chetu Hakika Mwenyezi Mungu Ametujibu Na Kesho Saa 10 au Saa 11 Jioni ANATANGAZWA Rasmi Kuwa Mshindi Wa Kiti Cha Urais. Tumwombee Sana Kwa Mungu Kwani Kwa Mbali Naona Kama Vile Mwenyezi Mungu AMETURUDISHIA Watanzania SOKOINE Mwingine. Huyu Jamaa ATAITENGENEZA Nchi KIMAFANIKIO Na Critics Wake Wote MTAMKUBALI.

Ni kweli mashetani pia yana Mkubwa wao mungu wa giza
 
Nilifurahi sana nilipo msikia Jana lowasa: kipindi cha kampeni lowasa alisema Kazi yake ni kulinda kura tuuu sasa nashangaa mda huuu anaanza kubwabwaja eti kaibiwa kura.

kama kweli walikuwa serious na kutafuta urais ilitakiwa mda huuu wameshikilia idadi ya kura walizopata kutoka majimboni na kuoanusha na yanayotangazwa na tume ili watuaminishe lipi ni ukweli na lipi ni uongo sio wajalie kupiga kelele
Nikimkuta Ccm amepata ajali sintamwokoa. Kwa sababu Ccm ni wanyama.

Nikimkuta ccm anashida yoyote simsaidii kwa sababu ccm ni mauji.

NI afadhali kujifunza lugha ya kenge kuliko kuongea na miccm.

Mwisho.
 
Nikimkuta Ccm amepata ajali sintamwokoa. Kwa sababu Ccm ni wanyama.

Nikimkuta ccm anashida yoyote simsaidii kwa sababu ccm ni mauji.

NI afadhali kujifunza lugha ya kenge kuliko kuongea na miccm.

Mwisho.

naona umepanic baada ya watanzania kulikataa Fisadi lenu
 
Kilichowaponza CHADEMA nı siasa zenye mwelekeo wa Udini na Ukanda pamoja na kampeni za kishari zıkichagızwa na wafuası ambao wengi walijaa fujo.Hayo ndiyo yaliyowaondolea imani wapga kura.
Wapiga kura zipi mbona mnakua ka mna vinyesi vichwani.!!?
 
naona umepanic baada ya watanzania kulikataa Fisadi lenu

Watanzania gani? Kama ni Watanzania wamepiga hizo kura mnazotangaza kwa nini mnakataza watu wasijumlishe matokeo ya vituoni? Mnaficha nini?

Kwa nini hamtumiii nakala za mawakala zilizosainiwa kwenye majimbo kupata jumla ya kura zilizopigwa badala yake mnatunga za kwenu?

Wengine mtakufa kwa dhambi za ujinga.
 
Kuanzia sasa kampuni yangu sifanyi kazi na kiumb yoyot mweye affiliations na ccm. Mwende mkapate mahitaji yenu kwa kikwete, mkapa na makamba.
 
Kuanzia sasa kampuni yangu sifanyi kazi na kiumb yoyot mweye affiliations na ccm. Mwende mkapate mahitaji yenu kwa kikwete, mkapa na makamba.

Mwenye kampuni atakuwa wewe? watu wengine bwana!
Kampuni? labda karanga kapuni
 
Nilifurahi sana nilipo msikia Jana lowasa: kipindi cha kampeni lowasa alisema Kazi yake ni kulinda kura tuuu sasa nashangaa mda huuu anaanza kubwabwaja eti kaibiwa kura.

kama kweli walikuwa serious na kutafuta urais ilitakiwa mda huuu wameshikilia idadi ya kura walizopata kutoka majimboni na kuoanusha na yanayotangazwa na tume ili watuaminishe lipi ni ukweli na lipi ni uongo sio wajalie kupiga kelele

mkuu kwaniwajuavyo chadema hasa mbowe mm naamini hawana hayo matokeo ya Tanzania nzima na kile kitendo cha kukamatwa wale wataalam wao wa IT ndio pigo kubwa na ndio walikuwa wanawategemea
 
Kuanzia sasa kampuni yangu sifanyi kazi na kiumb yoyot mweye affiliations na ccm. Mwende mkapate mahitaji yenu kwa kikwete, mkapa na makamba.
Usipanic dada. Lowassa asingeshinda hata kura zingehesabiwa kwa uwazi wa mbingu. Msiwalaumu wa Tanzania waliochagua magufuli, mumlaumu Mbowe, Mbatia & Co. kwa ubinafsi wao wa kuforce na kubadilisha gia angani. Wengi tulikasirishwa na hilo, tukaamua kura zeru ziende kwa Magufuli.

Poleni sana Familia ya Lowassa.
 
Kuanzia sasa navunja undugu au urafiki na mtu yoyote aliye upande wa ccm. I so declare.

Kuna ndugu yako hapa JF??Kwanini usimpigie simu huyo ndugu yako ambaye huwa anakuomba msaada umwambie kuliko kuja kulialia hapa JF kwa vile FISADI LENU LIMEKATWA NA WATANZANIA.
 
Huku zoezi za kutangaza matokeo linaendelea CDM wamekataa kukubaliana na matokeo yanayotangazwa na Lubuva na wenzake.

Wameainisha dosari kadhaa na kuitaka NEC isitishe zoezi lao na kudai kura zinazotangazwa zimechakachuliwa.

CHADEMA walisema wanayo Team kadhaa za watu wanaojumlisha matokeo yao hata baada ya kukamatwa kwa wana-IT wao sehemu tatu tofauti.

Ili kuondoa mkanganyiko na kutuweka sawa sisi wananchi tunaomba CHADEMA itupe matokeo yao kama Seif alivyofanya Zanzibar. CHADEMA watupe matokeo ya majimbo yote na jumla yao kuu, kama wameshinda tujue na kama wameshindwa pia tujue.

Kama CHADEMA hawana matokeo, hayo malalamiko hayatakuwa na nguvu baada ya Rais kutangazwa.

Katika maeneo mengi ambako matokeo yameshatangazwa mpaka sasa, kilichoripotiwa kuwa matokeo ya uchaguzi wa urais, hakifanani wala kuendana na matakwa halisi ya wananchi.

Matokeo mengi yamesheheni udanganyifu, ulaghai na yameandaliwa kwa lengo maalum la kumbeba mgombea wa CCM, John Pombe Magufuli.

Katika baadhi ya majimbo ya uchaguzi, kura zetu zimepunguzwa na kuongezwa kwa mgombea wa CCM; maeneo mengine, kura zilizotangazwa zimetofautiana na idadi halisi ya kura zilizopigwa.

Kwa mfano, matokeo yaliyotangazwa na NEC katika majimbo ya Mkoani na Mtambile, kisiwani Pemba, Makunduchi, Kiwengwa, Donge, Tunduru, Tunduma, Same Mashariki, Chambani, Tandahimba, Kilindi na kwingi kwingineko, ni miongoni mwa matokeo yanayothibitisha kuwa hiki kinachotangazwa na NEC, siyo kura za uchaguzi mkuu wa rais. Tunaweza kuiita, "mzimu wa uchaguzi."
 
Siyo kupanic mnaudhi sana,mimi hata ajira ukija ofisini kwangu nnikigundua wewe na ndugu zako ni CCM hupati ajira!!!

Mkuu nipe mie basi hapa na machungu ya matokeo na ukiongeza uchung wa kutopata kazi mwaka mzima nina hasira kweliiiiiii!!!!!!!
 
Usipanic dada. Lowassa asingeshinda hata kura zingehesabiwa kwa uwazi wa mbingu. Msiwalaumu wa Tanzania waliochagua magufuli, mumlaumu Mbowe, Mbatia & Co. kwa ubinafsi wao wa kuforce na kubadilisha gia angani. Wengi tulikasirishwa na hilo, tukaamua kura zeru ziende kwa Magufuli.

Poleni sana Familia ya Lowassa.
Usiseme asingeshinda!!

Kama ingekuwa hivyo kwanini tulienda kwenye uchaguzi?? Kwanini hayo mabilioni wasiingeenda kuanzishia miradi badala ya kuwekekeza kwenye kutaka mamlaka ya wananchi??

Kama ni hivyo kwa nini aibiwe kura zake??? Kwa nini umuibie kura mtu ambaye una uhakika wa kumshinda???
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom