Wazo Langu
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 1,381
- 841
Kuna mtu aliuliza mahali ni Ishara gani iliwaonesha kuwa ni lazima tu Lowasa atashinda Urais?
Wote wamepigiwa kura
Wote wamepigiwa kura
Kila TV ilikuwa na upendeleo wa mgombea fulani. Msiwe wabishi mimi nasema hapa:-Pocha kama ujafanya tafiti usiongeze!! Yaani unasifia TV ambazo zinaonesha recorded, tune Azam Tv upate habari za instantly na zisizo na upendeleo! Tv zako hizo ni za mlengo wa mgombea fulani
Kila TV ilikuwa na upendeleo wa mgombea fulani. Msiwe wabishi mimi nasema hapa:-
ITV walilala sana kwa Mh......
StarTV kwa Mh. .....
Channel 10.........
EATV..........
Na kuna TV moja inaitwa Gwajima nayo ilipiga maombi moja kwa moja bila kuficha lakini wakabadilisha gia angani:hand:
WATU WENGI HAWAJAJITOKEZA KUPIGA KURA TENA NDIO MAANA TUNAZUNGUMZIA MAMBO YA MILLION 3 MPAKA SASA KATI YA MILLION 23 WALIJIANDIKISHA.
USHAURI:
Tume itangaze baada ya uchaguzi huu mwanainchi asiruhusiwe kutumia kitamburisho cha mpiga kura kwa shughuri yoyote ile zaidi ya kupigia kura tu. kufanya hivyo chaguzi zijazo watu watajitokeza.
Mliona misululu mirefu kumbe watu wengi walibaki majumbani.
Kwa hiyo? Kuna iliyovunja sheria ya nchi?
Nijuavyo sikuangalia TV fulani kwa sababu ya mwelekeo wa utangazaji wake.