Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Japo nina maono fulani,lakini bado,japo kwa muda, nitalazimika kushuhudia nchi hii ikirudi tena mikononi mwa CCM na nikiwaza Bunge lijalo lililotawaliwa na wabunge wa CCM,hakika nakwazika sana maana nikikumbuka waliyoyafanya katiba Bunge lililopita, hakika naweza hata kumkufuru mungu.

Muda si mrefu kabla hata hawajaanza kazi, tunaweza kuwaona wakitumia wingi wao kushinikiza waongezewe mishahara na marupurupu yao ili hali mimi nina miaka 6 kazini bila hata kupata promotion huku mshahara ukiwa kiduchu.

Muda si mrefu tutashududia wakipewa mamilioni kama mikopo(sera ya chama tawala) ili wanunulie magari ya kifahari wakati hospitalini hakuna madawa na wengine wanalilia kulipwa stahiki zao miaka nenda miaka rudi.

Muda si mrefu tutashuhudia wakipitisha ile katiba walioiasisi kwa mbwembwe huku maoni yetu yakipuuzwa!

Muda si mrefu tutashuhudia wale waliokataliwa na wananchi wakiteuliwa kuwa mabalozi,wakuu wa mikoa,wilaya n.k.

Kwa kifupi inauma sana kuendelea kuyashuhudia mambo haya na ndio maana nikasema heri yao waliotangulia mbele ya haki(ingawa inauma) maana maumivi haya wao hawatayasikia.
 
Kwa wale waliosoma hesabu kufaulu katika jambo si lazima upate asilimia 100.Hata matokeo ya uchaguzi si lazima yawe asilimia 100 sahihi yaweza kuwa asilimia 95 sahihi (CONFIDENCE LEVEL) na yakawa sawa tu.Cha muhimu kujua ni je yamewakilisha kwa sehemu kubwa usahihi wa matokeo halisi yaliyokuwa vituoni? Hilo ndilo la msingi.Na je yakiwepo malalamiko kwa yaliyokosewa kidogo je yaweza athiri matokeo ya mlalamikaji kwa kiwango kikubwa?

Mfano matokeo ya jumla mgombea A kamzidi mgombea B kwa kura elfu kumi.Ikatokea kuwa kituo KIMOJA cha kura matokeo yao yenye kura 200 kilisahauliwa kurekodiwa na tume.Je kura hizo 200 zaweza batilisha matokeo yote au fanya mgombea B ashinde mgombea A? Jibu ni hapana.Hicho kituo hata kisiporekodiwa ni sawa tu sababu sio material (insignificant)

Vyama vinapokuwa vinaangalia vitatizo vidogo vidogo viangalie Materiality ya hicho wanachoongelea.Uchaguzi wa NCHI NZIMA si kitu kidogo kuwa perfect asilimia 100 SI RAHISI SANA.Cha msingi ni kuangalia kwa ujumla wake je haki imetendeka? Sio kuangalia visehemu vidogo vidogo vyenye kura chache zisizoweza badilisha mwelekeo wa jumla wa kura za wagombea.

Kwangu mimi kama tume imefanikiwa walau kutangaza matokeo sahihi kwa asilimia 90 najisikia wamefanya kazi nzuri na nawapongeza sana tena sana si lazima wafikie asilimia 100.Dunia nzima hakuna kitu kama hicho kwenye chaguzi
 
Wadau, poleni sana kwa wale wenzetu wa UKAWA. Najua wapo wengi humu waliotubeza na kututukana kwa sababu tu eti tunakitetea chama tawala, chama pendwa. Tulivumilia matusi hayo na kejeli tulizopewa. Tena wengine walienda mbali na kutuambia kuwa tutafute pa kujificha pindi Lowasa atakapotangazwa mshindi.

Namshukuru Mwenyezi Mungu. Chaguo langu na la Watanzania wote, John Pombe Magufuli anazidi kuchanja Mbuga. Natoa wito kwa wapinzani wote nchini. Kubalini matokeo. Hapa hata mfanyeje hamuwezi kupindua matokeo. Mikakati mnayopanga ya kutaka kugomea matokeo hayatawasaidia kitu. Kila kitu kipo wazi na Watanzania tunajionea wenyewe.

Jipangeni kwa ajili ya uchaguzi wa 2025

Mkuu UMEMALIZA Kila Kitu. Tulitukanwa Na Hadi Kudhihakiwa Mno Humu Kwa Kuwa TULISEMA Tupo Upande Wa Rais Mteule Wa Kesho Dr. MAGUFULI Lakini Sasa UKWELI 80% Umeshadhihirisha Kuwa Dr. MAGUFULI Ndiyo Rais Wetu MTARAJIWA. Mkuu Binafsi HAPA NINA FURAHA YA AJABU Na SIJUI KESHO Jaji MSTAAFU Baba Mwasu ( Mzee Lubuva ) AKIMTANGAZA Rasmi Dr. MAGUFULI Nitakuwaje. Sijawahi KUBAHATISHA Kwa Yule NIMPENDAE Siku Zote. Nilianza Nae Tokea Akiwa Anachukua Fomu Ndani Ya Chama, Michakato Ya UTEUZI Wake Ndani Ya Chama, Alipoanza Kampeni Zake Na Sasa Akiwa Karibu Kabisa Kuingia IKULU. Nina MATUMAINI MAKUBWA SANA NA Dr. MAGUFULI Na Ninawahakikishieni Hata Wale Wote WASIOMPENDA Na WANAOMCHUKIA Kuwa Huyu JAMAA ANAENDA KUIJENGA NCHI VILIVYO NA ATARUDISHA NIDHAMU YOTE ILIYOPOTEA Na Tutegemee UONGOZI WAKE KABAMBE NA ULIOTUKUKA Na KIKUBWA Tumpe Tu USHIRIKIANO Na TUMKUBALI. Wengine Mwenyezi Mungu AMETUJIBIA MAOMBI YETU Na SIJUI NINGEFICHA WAPI Hii ID Yangu Na USO WANGU Kwa WANAONIJUA Endapo MFALME NJOZI Lowassa ANGESHINDA Kiti Cha Urais. Akhsante Mungu Na SHIKAMOONI Watanzania Wote MLIOMCHAGUA Dr. MAGUFULI Hakika Kura Zenu HAZIJAENDA BURE!
 
Mepita kwa kura za wizi unadhani hatujui Bana unataka kumdanganya nani
 
Mepita kwa kura za wizi unadhani hatujui Bana unataka kumdanganya nani

Mbona Na Wewe Hujaiba? Hivi Si Ndiyo Alikuwa Lowassa ALIYETUAMINISHA Kuwa Tusiwe Na Wasiwasi Kuwa HAKUNA KURA Yoyote Ile Itakayoibiwa Na Kwamba Yeye Anajua SIRI Zote Za Uibiwaji Wa Kura? Leo Imekuwaje? Na Pia Nakumbuka Mbowe ALIWAAMBIA Wana UKAWA Kuwa WAHAKIKISHE Kuwa WANALINDA Kura Je Huu MKAKATI Nao Ulikuwaje Hadi MKAIBIWA Kura Kama Unavyodai? Je Na Nyie Uwezo Wenu Wa KUIBA Kura Uliishia Wapi? Mpaka Mnaibiwa Je Na Nyie Labda Mlikuwa Mmeiba Kura Ngapi Mkuu?
 
Haya sasa wizi wa kura umebainika, mara nyingi ukweli hujitenga na uongo, mfanya maovu lazima aubuke, wameiba kura sasa wameimbuka.

Uchaguzi wa zanzibar na kura zao zote zimefutwa kutokana na figisu figisu za hapa na pale.
 
Mbona Na Wewe Hujaiba? Hivi Si Ndiyo Alikuwa Lowassa ALIYETUAMINISHA Kuwa Tusiwe Na Wasiwasi Kuwa HAKUNA KURA Yoyote Ile Itakayoibiwa Na Kwamba Yeye Anajua SIRI Zote Za Uibiwaji Wa Kura? Leo Imekuwaje? Na Pia Nakumbuka Mbowe ALIWAAMBIA Wana UKAWA Kuwa WAHAKIKISHE Kuwa WANALINDA Kura Je Huu MKAKATI Nao Ulikuwaje Hadi MKAIBIWA Kura Kama Unavyodai? Je Na Nyie Uwezo Wenu Wa KUIBA Kura Uliishia Wapi? Mpaka Mnaibiwa Je Na Nyie Labda Mlikuwa Mmeiba Kura Ngapi Mkuu?

Wizi wa kura ndio umefanya matokeo ya zanzibar yafutwe, sasa sijaona tofauti yeyote na hapa Bara. kuna sehemu idadi ya wapiga kura walio mchagua mbunge ni tofauti na idaid ya kura za kuchagua Raisi, imetokea Bumbuli na sehemu nyingine nyingi.

Sasa mnataka kukataa nini?
 
Hii nchi inapoelekea cko...Mgombea wa ccm kashindwa anaenda mahakam eti Msigwa katoa rushwa..Kyela wanaanchi wanaimba hwamtaki Mwakyembe....zanzibar inakuwaje wahairishe uchaguz na NEC iendelee?? Ina maana wale waliompgia kura Magufuli na Lowassa inakuaje??? Wanazifuta hizo kura au wanazichukua na kwa MISINGI IPI???? Hvi tume HAINA AKILI JAMAN???? Ikeletewa malalamiko haina mamlaka ya kuchunguza???? Makamba nae achukuliwa hatua gani??? Maana alimtangaza magufuli tangu tarehe 25??? Donald hakosei hata kigd waafrika tutawaliwe tena miaka 100 ili tupate akili!!!! Sshv wagombea wengi wa CCM na CHADEMA walioshindwa wanakimbilia mahakam wananchi wanagoma kupokea matokeo ssa tunaenda wapi??? NEC ijitathmn na ikubali kufuatilia malalamiko kama kweli inasema ipo HURU... NA JAKAYA nchi ikichafuka inachafukia mikononi mwako utalaumiwa ww na cio ccm wala chadema!!!!ONLY U!! Watanzania wa sshv co wale wa mwka 2005....TUSTUKE BASIIIII na TUCHUKUE HATUA MAPEMAAA...WANASEMA UCPO ZIBA UFA UTAJENGA UKUTA HII LINAONDELEA HAPA TUSIPUUZE JAMAN TUWEKE ITIKADI PEMBENI NA TUCHAMBUE MAMBO KWA UKWELI ZAID...
 
Mkuu UMEMALIZA Kila Kitu. Tulitukanwa Na Hadi Kudhihakiwa Mno Humu Kwa Kuwa TULISEMA Tupo Upande Wa Rais Mteule Wa Kesho Dr. MAGUFULI Lakini Sasa UKWELI 80% Umeshadhihirisha Kuwa Dr. MAGUFULI Ndiyo Rais Wetu MTARAJIWA. Mkuu Binafsi HAPA NINA FURAHA YA AJABU Na SIJUI KESHO Jaji MSTAAFU Baba Mwasu ( Mzee Lubuva ) AKIMTANGAZA Rasmi Dr. MAGUFULI Nitakuwaje. Sijawahi KUBAHATISHA Kwa Yule NIMPENDAE Siku Zote. Nilianza Nae Tokea Akiwa Anachukua Fomu Ndani Ya Chama, Michakato Ya UTEUZI Wake Ndani Ya Chama, Alipoanza Kampeni Zake Na Sasa Akiwa Karibu Kabisa Kuingia IKULU. Nina MATUMAINI MAKUBWA SANA NA Dr. MAGUFULI Na Ninawahakikishieni Hata Wale Wote WASIOMPENDA Na WANAOMCHUKIA Kuwa Huyu JAMAA ANAENDA KUIJENGA NCHI VILIVYO NA ATARUDISHA NIDHAMU YOTE ILIYOPOTEA Na Tutegemee UONGOZI WAKE KABAMBE NA ULIOTUKUKA Na KIKUBWA Tumpe Tu USHIRIKIANO Na TUMKUBALI. Wengine Mwenyezi Mungu AMETUJIBIA MAOMBI YETU Na SIJUI NINGEFICHA WAPI Hii ID Yangu Na USO WANGU Kwa WANAONIJUA Endapo MFALME NJOZI Lowassa ANGESHINDA Kiti Cha Urais. Akhsante Mungu Na SHIKAMOONI Watanzania Wote MLIOMCHAGUA Dr. MAGUFULI Hakika Kura Zenu HAZIJAENDA BURE!

Big up brother. Mimi nina iman kubwa sana tena sana. Nina furaha kupita maelezo. Kazin kwangu nilichukiwa na wafanyakazi kisa iman yangu kwa magufuli. Huyu jamaa anaenda kuibadilisha nchi. Kama angeshindwa sijui ningeficha wapi uso wangu. Mungu amsaidie tu na Kumlinda.
 
  • Thanks
Reactions: mge

Kweli watanzania ni AJABU lingine la DUNIA kwahiyo Wewe na wenzio mnaamini ktk Magufuli...!!!
 
Naombeni matokeo ya shujaa Wangu kafulila jaman maana mnaendelea kuniongezea maumivu
 
Big up brother. Mimi nina iman kubwa sana tena sana. Nina furaha kupita maelezo. Kazin kwangu nilichukiwa na wafanyakazi kisa iman yangu kwa magufuli. Huyu jamaa anaenda kuibadilisha nchi. Kama angeshindwa sijui ningeficha wapi uso wangu. Mungu amsaidie tu na Kumlinda.

Kupo Tupo Wengi TULIOPATA TAABU Kwa KUMPENDA Dr. Magufuli! Pole Sana Mkuu ILA Kilio Chetu Hakika Mwenyezi Mungu Ametujibu Na Kesho Saa 10 au Saa 11 Jioni ANATANGAZWA Rasmi Kuwa Mshindi Wa Kiti Cha Urais. Tumwombee Sana Kwa Mungu Kwani Kwa Mbali Naona Kama Vile Mwenyezi Mungu AMETURUDISHIA Watanzania SOKOINE Mwingine. Huyu Jamaa ATAITENGENEZA Nchi KIMAFANIKIO Na Critics Wake Wote MTAMKUBALI.
 
Huku zoezi za kutangaza matokeo linaendelea CDM wamekataa kukubaliana na matokeo yanayotangazwa na Lubuva na wenzake.

Wameainisha dosari kadhaa na kuitaka NEC isitishe zoezi lao na kudai kura zinazotangazwa zimechakachuliwa.

CHADEMA walisema wanayo Team kadhaa za watu wanaojumlisha matokeo yao hata baada ya kukamatwa kwa wana-IT wao sehemu tatu tofauti.

Ili kuondoa mkanganyiko na kutuweka sawa sisi wananchi tunaomba CHADEMA itupe matokeo yao kama Seif alivyofanya Zanzibar. CHADEMA watupe matokeo ya majimbo yote na jumla yao kuu, kama wameshinda tujue na kama wameshindwa pia tujue.

Kama CHADEMA hawana matokeo, hayo malalamiko hayatakuwa na nguvu baada ya Rais kutangazwa.
 
Mambo ya kizamani kabisa haya . Wazazi wakitaka kufanya mambo yao watawavizia watoto walale au watawatuma mbali na wasipotii (wataadabishwa)
watakiona cha mtemakuni. Leo wazazi ni serikalii siku tatu matokeo ya kura yanashlndikana (watoto bado kulala) kutangaza kama vile watanzania hawajui hesabu. Majibu ni washawasha na mabomu .Tume ya Uchaguzi haipo huru!
 
Kilichowaponza CHADEMA nı siasa zenye mwelekeo wa Udini na Ukanda pamoja na kampeni za kishari zıkichagızwa na wafuası ambao wengi walijaa fujo.Hayo ndiyo yaliyowaondolea imani wapga kura.
 
Back
Top Bottom