Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Wajemeni yaani TBC wanapiga bongofleva na vituo vingine vyote wanaonesha muvi. Ni ITV pekee ndio wanatujuza mpaka asubuhi.
PONGEZI SUPERBRAND TANZANIA. ITV
 
majimbo yaliyo kamilika mpaka sasa ni : mikumi CDM
: Morogoro mjini CCM
: Karatu CDM
: Jimbo la moshi CDM
: Tarime CDM
: Bunda CDM
: Tandahimba CUF
: Arumeru CDM
kigoma mjini ACT :mbeya mjini CDM
 
majimbo yaliyo kamilika mpaka sasa ni : mikumi CDM
: Morogoro mjini CCM
: Karatu CDM
: Jimbo la moshi CDM
: Tarime CDM
: Bunda CDM
: Tandahimba CUF
: Arumeru CDM
kigoma mjini ACT :mbeya mjini CDM
\

:peace:
 
Hapo Morogoro mjini na Kigoma mjini naona umetupiga Fix, matokeo yaliyotolewa katika vituo hayajafika hata nusu, sasa yamekamilikaje?
 
Nzega mjini CCM
Nzega vijijin CCM
Iringa mjini CDM
Isimani CCM
Mufundi kusini CCM
Mufindi mask CCM
Bariadi magharibi CCM
Singida Mashariki CCM
 
Back
Top Bottom