Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Hahahaha Tukubali kushindwa Jamaa wametuzidi ujanja ninauhakika yule anayefanya majumukisho anaongoza 3000 kwa Magufuli
 
Hivi Jamani tuseme ukweli kasoro zipo kama segerea. Kama yule dada wa segerea alijitoa utamlaumu vipi??

CUF WAMEPATA MAJIMBO 23 mpaka sasa huoni kama ni faida sana kuwa ukawa

CHADEMA 35 na isingekuwa kanda ya ziwa kuitosa CDM cdm wangekuwa hata na wabunge hata 60

UKAWA IMESAIDIA MNO TUSIBEZE KIRAHISI

Faida zipo na hasara zipo ila faida inaonekana jamani.

Uwepo wa LOWASA umesaidia pia tusibeze...kabisa

Watz wamejitahd sema magoli ya maradona.
 
kweli kabisa nimeamini watanzania wanaakili sana............hapa imebaki tu kuapishwa mzee wa kazi edo akachunge tuu
 

AIBU CCM AIBU


ccm inajingamba kwamba watanzania wanakikubali chama cha ccm kua ni chama kikongwe na sera zake mzuri za Umoja amani na upendo, Jee hii kweli ndio Amani ?,jee hii kweli ndio Democrasia ? yani munainyonga Democrasia kwakulazimisha hali ya uvunjifu wa Amani kama huu kwamba hata kuiba lakini Makufuli awe tu Raisi dooo ( that is shame and sad).

MAHINDI YA CCM HAYO


Hata mimi kama ni Chadema/UKAWA basi naukataa uchaguzi wa uraisi kwa hali hii aibu aibu aibu ccm .


Hii kweli ndio Amani ya nchi hii kweli ndio democrasia ccm?.


 
Last edited by a moderator:
KWA HALI HII HATA KAMA MIMI NI LUWASSA SIKUBALI MATOKEO

[video]Hii kweli ndio Amani ya nchi hii kweli ndio democrasia ccm?.[/video]
 
Naona NEC imeanza kutangaza ngome za Magufuli na lowassa anachezea kichapo vilivyo....mtamkumbuka Slaa
 
Harafu anakwambia natangaza kama ninavyopokea, kwahiyo hawa hakiki kama ni sahihi wanachotangaza???
 
Watanzania endeleeni na maisha haya ya uchaguz wachanane imeshaisha hayo ,tafuteni maisha Sasa cio kutwa siasa tu .
Watu toka kampeni zianze hadi Sasa wapo tu na siasa wachani hayo tafuteni maendeleo ya familia zenu jamani .
 
Naona NEC imeanza kutangaza ngome za Magufuli na lowassa anachezea kichapo vilivyo....mtamkumbuka Slaa

Walidai baada ya oct 25 eti tutapotea humu jamvini, ajabu wao ndio wamekula kona! teh teh teh! huwezi kumchafua mtu kwa miaka 10 uje uweze kumsafisha kwa siku 60 ? ajabu!
 
ndio maana tunasema watanzania wengi ni mazezeta,unadhani maendeleo ya familia yako yatakuja bila kuwa na siasa safi kama alivyo sema mwl.nyerere. your life in this world is determined by politics.una kazi kama mpaka leo hujui maana ya siasa ktk maisha yako ya kila siku
 
Back
Top Bottom