Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Tbc na vipindi vyake wakati wa uchaguzi
 

Attachments

  • 1445762223616.jpg
    1445762223616.jpg
    35.5 KB · Views: 234
Moja ya vitu vya kushangaza ni kwamba channel binafsi zinaonyesha updates za Uchaguzi Mkuu, lakini channel ya taifa TBC1 wanaonyesha taarabu.

Hili ni moja kati ya maajabu saba ya dunia.
 
Daaahhh......hii ni aibu kwa taifa...af wapo mpaka DSTV that means dunia nzima inaangalia televisheni yetu ya taifa
 
Uku kwetu tanga ktk kituo at a walikuwa hawatoi maelezo vena yanayoeleweka,alikuwa anasema uwekee X Kwa MTU ambaye haumtak na uweke √ Kwa mgombea unayempenda,nkaona anataka kupoteza kura za vijana ambao ndio Mara yao ya kwanza kupga kura.nkawapa darasa vijana vemaa.
 
Hawa jamaa wanapenda sana taarab hata sku ya kuzama meli ya Spice Islander kama kawaida yao walikua wameweka taarab
 
Wewe nawe mshamba tu kama hutapiga kura!
Unajua nia yao lakini kuna wasamaria walishajitolea kuwasafirisha wanachuo popote walipo wakapige kura,
Kwa hiyo kama ulikuwa umejificha utakuwa umechangia kujinyima HAKI yako mwenyewe.

Kwann Dr.Pepsin ipi degree ya Ushamba wangu
 
Wanajukwaa,

Ebu tupate orodha ya vituo ambavyo vimeleta utata katika upigaji kura mpaka sasa,

============


UPDATES

Kituo kimara stop over Kuna tatizo la kuisha kwa karatasi za mgombea uraisi, watu wanaambiwa wapige za wabunge na madiwani tu.

mbarali karatasi za madiwani hakuna.
 
Hawa jamaa wanapenda sana taarab hata sku ya kuzama meli ya Spice Islander kama kawaida yao walikua wameweka taarab

siku hiyo nilikuwa Tanzania nilishangaa sana wanapiga taarabu wakat meli imezama watu wanangoja update wao hawakuwa na habari kabisa hadi saa 2 usiku
 
Back
Top Bottom