Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu


JamiiForums

JamiiForums

Official Robot
Joined
Nov 9, 2006
Messages
5,105
Likes
2,336
Points
280
JamiiForums

JamiiForums

Official Robot
Joined Nov 9, 2006
5,105 2,336 280
Wakuu,


Mada maalumu zimeandaliwa kwa ajili ya Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania. Mada hizo zimepangwa tokana na Mikoa kama ilivyoanishwa hapa chini;


1. Arusha - https://www.jamiiforums.com/uchaguz...i-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html?highlight=

2. Dar es Salaam - https://www.jamiiforums.com/uchaguz...i-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html?highlight=

3. Dodoma - https://www.jamiiforums.com/uchaguz...i-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html?highlight=

4. Geita - https://www.jamiiforums.com/uchaguz...i-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html?highlight=

5. Iringa - https://www.jamiiforums.com/uchaguz...i-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html?highlight=

6. Kagera - https://www.jamiiforums.com/uchaguz...i-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html?highlight=

7. Katavi - https://www.jamiiforums.com/uchaguz...i-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html?highlight=

8. Kilimanjaro - https://www.jamiiforums.com/uchaguz...i-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html?highlight=

9. Lindi - https://www.jamiiforums.com/uchaguz...i-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html?highlight=

10. Manyara -
Manyara - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

11. Mara - https://www.jamiiforums.com/uchaguz...i-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html?highlight=

12. Mbeya - https://www.jamiiforums.com/uchaguz...i-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html?highlight=

13. Morogoro - https://www.jamiiforums.com/uchaguz...i-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html?highlight=

14. Mwanza - https://www.jamiiforums.com/uchaguz...i-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html?highlight=

15. Mtwara - https://www.jamiiforums.com/uchaguz...i-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html?highlight=

16. Njombe - https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania/962852-njombe-matukio-na-matokeo-ya-uchaguzi-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html?highlight=

17. Pwani - https://www.jamiiforums.com/uchaguz...-ya-uchaguzi-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html

18. Ruvuma - https://www.jamiiforums.com/uchaguz...i-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html?highlight=

19. Rukwa - https://www.jamiiforums.com/uchaguz...i-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html?highlight=

20. Singida - https://www.jamiiforums.com/uchaguz...i-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html?highlight=

21. Simuyu - https://www.jamiiforums.com/uchaguz...i-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html?highlight=

22. Shinyanga - https://www.jamiiforums.com/uchaguz...i-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html?highlight=

23. Tabora - https://www.jamiiforums.com/uchaguz...i-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html?highlight=

24. Tanga - https://www.jamiiforums.com/uchaguz...i-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html?highlight=

25. Pemba - https://www.jamiiforums.com/uchaguz...-ya-uchaguzi-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html

26. Unguja - https://www.jamiiforums.com/uchaguz...-ya-uchaguzi-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html

27. Kigoma - Kigoma - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia


Habari zaidi kuhusiana na Uchaguzi Mkuu 2015


1. Lowassa 'LIVE' ITV akiwa anapiga kura - https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania/962978-lowassa-live-itv-akipiga-kura-monduli.html

2. Magufuli 'LIVE' Star TV akiwa anapiga kura - https://www.jamiiforums.com/uchaguz...-magufuli-live-star-tv-kupiga-kura-chato.html

3. Mgombea Urais TLP ashindwa kupiga kura - https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania/963039-mgombea-urais-tlp-ashindwa-kupiga-kura.html

4. Watanzania wakipongezana kwa kupiga kura - https://www.jamiiforums.com/uchaguz...nia-kwa-kujitokeza-kwa-wingi-kupiga-kura.html

5. Maalim Seif aitaka ZEC imtangaze mshindi - Maalim Seif: Nimekusanya matokeo kutoka vituo vyote ninaongoza, aitaka ZEC imtangaze mshindi

6. Makamba Atangaza siku ya Magufuli kutangazwa Rais - Januari Makamba: Magufuli kutangazwa Rais tarehe 29 oktoba 2015

7. Makamba acha kutuaribia Amani - https://www.jamiiforums.com/uchaguz...zania-kwa-uwezo-wako-mdogo-wa-kupambanua.html

8. UKAWA kutokubali matokeo:
Mbowe: UKAWA haitambui matokeo ya Urais yanayotangazwa na NEC

9. Lowassa kutokubali matokeo ya urais - Edward Lowassa aongea na vyombo vya habari, Amesema hatokubali matokeo ya uchaguzi mkuu

10. Uchaguz Zanzibar wafutwa: Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) yafuta Matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu

11. VIDEO: Baadhi ya Wajumbe wa ZEC wapinga maamuzi ya Mwenyekiti wao kubatilisha Uchaguzi wa Zanzibar

12.Magufuli Rais Mteule - Dr. Pombe Magufuli, Rais mteule wa Tanzania awamu ya 5

13. Tamko za CUF kwa ZEC - Tamko: CUF yaipa ZEC siku tatu kukamilisha mchakato wa uchaguzi

14.Katibu Mkuu UN ampongeza Magufuli - Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban ki Moon aipongeza Tanzania kwa uchaguzi Huru na Haki

15. NEC yamkabidhi Rais Mteule cheti cha Ushindi - Yanayojiri makabidhiano ya cheti Diamond Jubilee kwa Rais mteule

16. Maalim Sief amesema anasubiri kuapishwa kuwa Rais wa Zanzibar Maalim Seif: Mimi ndio rais wenu

17. Balozi Seif Ali Iddi; Suala la kurudia uchaguzi halina mjadala - Suala la kurudiwa uchaguzi mkuu wa Zanzibar halina mjadala!

18. NEC yatangaza viti maalum; CCM imepata viti 64, CHADEMA 36 na CUF 10 - Majina ya Wabunge Viti Maalum hadharani: CCM-64, CHADEMA-36, CUF-10

19. Regina Lowassa akataa nafasi ya viti maalum -Mke wa Lowassa autosa ubunge wa Viti Maalum CHADEMA

20. Hashim Rungwe kwenda Mahakamani kufungua mashataka ya kuibiwa kura -Hashimu Rungwe kwenda mahakamani kuomba tafsiri ya nguvu ya NEC kutohojiwa au kupelekwa

21. Dkt. Magufuli na Samia Suluhu waapishwa -Yaliyojiri Uwanja wa Uhuru: Kuapishwa kwa Dr. Pombe Magufuli kuwa Rais wa Tanzania

22. Rais Kikwete na Maalim Seif wafanya mazungumzo kuhusu Zanzibar -Rais Kikwete afanya Mazungumzo na Mgombea Urais wa Zanzibar, Maalim Seif - Ikulu ya Dar

23. Maalim Seif awataka wanachama CUF kuwa watulivu -Maalim Seif awataka Wazanzibar watulie, yupo katika mazungumzo na taasisi za Kimataifa

24. Zanzibar -
Wanasheria wa Zanzibar wataka ZEC ifute tamko la kubatilisha uchaguzi

25. Wanasheria Zanzibar wazungumzia uchaguzi wa Zanzibar -
Wanasheria waongea kuhusu kufutwa Uchaguzi Zanzibar

26. Zitto atoa ya moyoni kuhusu uchaguzi Zanzibar -Kauli ya Zitto Kabwe kuhusu mkwamo wa kisiasa Zanzibar

27. Uchaguzi Zanzibar wafutwa Rasmi - Uchaguzi Zanzibar wafutwa Rasmi

Mpaka sasa NEC imeshatangaza rasmi matokeo ya ubunge majimbo 102, CCM wamechukua majimbo 63, CHADEMA 21, CUF 16, NCCR 1 na ACT 1.

Matokeo rasmi kutoka NEC:-

Matokeo Rasmi kutoka NEC - Matokeo rasmi ya Urais kwa mujibu wa NEC (Official Results) - Uchaguzi Mkuu 2015
 
pocha2

pocha2

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2014
Messages
864
Likes
281
Points
80
pocha2

pocha2

JF-Expert Member
Joined Sep 23, 2014
864 281 80
Nawapongeza sana ITV, na EATV, huu ndo uzalendo, mnatia hamasa sana kwa watanzania, kila kitu live. Hata mtu anayeangalia kutoka Marekani anajua kinachoendelea hapa nchini. Mnasitahili pongezi za dhati kabisa.

Naungana na Mh. Mkosamali kwamba ukitaka kupata shida nchi hii deal na vitu vya serikali, TBC1 wanaonesha vipindi vya watoto kana kwamba ni siku ya kawaida.
 
Wa kusoma

Wa kusoma

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2011
Messages
3,398
Likes
2,355
Points
280
Wa kusoma

Wa kusoma

JF-Expert Member
Joined Jul 30, 2011
3,398 2,355 280
Umeangalia Azam two ww?
 
Ryaro wa Ryaro

Ryaro wa Ryaro

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Messages
2,663
Likes
68
Points
145
Ryaro wa Ryaro

Ryaro wa Ryaro

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2010
2,663 68 145
Lowassa Akiingia Madarakani Jambo la kwanza TBC Iangaliwe Upya Kwa Kuwapumzisha Baadhi ya watendaji. Its shame

Kuona TV ya Taifa Ikionyesha Katuni...Duuh!!! Only in Tanzania.
 
PRINCE CROWN

PRINCE CROWN

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Messages
4,506
Likes
1,568
Points
280
Age
42
PRINCE CROWN

PRINCE CROWN

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2013
4,506 1,568 280
Nawapongeza sana ITV, na EATV, huu ndo uzalendo, mnatia hamasa sana kwa watanzania, kila kitu live. Hata mtu anayeangalia kutoka Marekani anajua kinachoendelea hapa nchini. Mnasitahili pongezi za dhati kabisa.

Naungana na Mh. Mkosamali kwamba ukitaka kupata shida nchi hii deal na vitu vya serikali, TBC1 wanaonesha vipindi vya watoto kana kwamba ni siku ya kawaida.

Kuanzia Kesho MH RAIS LOWASSA. Ahandae Faili La Kumfukuza Kazi MKURUGENZI Mkuu Wa TBC BW Clement Mshana.
 
MAHANJU

MAHANJU

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Messages
4,934
Likes
5,271
Points
280
MAHANJU

MAHANJU

JF-Expert Member
Joined Aug 26, 2014
4,934 5,271 280
Vituo vya uhakika vya taarifa zilizoshiba kuhusu Uchaguzi ninavyoona Mimi ni ITV,AZAM na Chanel10. Vile vingine naona havieleweki ni kama watangazaji wake wanaoneka wana hofu sana na kuficha ficha haviko detailed sijui ni kwanini.
 
P

Pohamba

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2015
Messages
18,263
Likes
29,980
Points
280
P

Pohamba

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2015
18,263 29,980 280
Ni bora kutokutangaza kuliko kutangaza kishabiki. Hongeren Azam, Channel ten na ITV
 
MLALUKO JR

MLALUKO JR

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2015
Messages
970
Likes
279
Points
80
MLALUKO JR

MLALUKO JR

JF-Expert Member
Joined May 3, 2015
970 279 80
Hivi ni kwanini tume imeamua kutunyima haki yetu ya kupga kura sisi wanachuo tuliojiandikisha vyuoni but now tupo likizo ma-kwetu.

Nimefanikiwa kufka vituo viwili hapa Dodoma lakini hkuna form no 16 kwa ajili ya wanachuo.Nahisi sio haki kikatba!

Tupeane mtazamo.
 
Mshuza2

Mshuza2

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2010
Messages
5,231
Likes
3,101
Points
280
Mshuza2

Mshuza2

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2010
5,231 3,101 280
Wadau Azam Tv watakua live kwa masaa 72 wakikuletea matangazo ya kinachojiri kuhusu uchaguzi mkuu toka kila pande ya nchi yetu kwa teknolojia ya hali ya juu...
 
P

payton

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2014
Messages
387
Likes
118
Points
60
P

payton

JF-Expert Member
Joined May 1, 2014
387 118 60
Lowassa Akiingia Madarakani Jambo la kwanza TBC Iangaliwe Upya Kwa Kuwapumzisha Baadhi ya watendaji. Its shame

Kuona TV ya Taifa Ikionyesha Katuni...Duuh!!! Only in Tanzania.
Nimeangalia nikasema hawa tbc wanajielewa kweli!
 
N

Ngonini

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2010
Messages
2,024
Likes
8
Points
135
N

Ngonini

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2010
2,024 8 135
Wao wanapebda mambo ya gizani kila kituvsijui wanafanyaga nini huko gizani! Hawapendi vitu viwe wazi kila kitu kinafanywa sirisiri, matokeo sirisiri utafikili ni mali ya mtu!
 
M

multmandalin

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2012
Messages
1,947
Likes
31
Points
135
M

multmandalin

JF-Expert Member
Joined Sep 8, 2012
1,947 31 135
Nawapongeza sana ITV, na EATV, huu ndo uzalendo, mnatia hamasa sana kwa watanzania, kila kitu live. Hata mtu anayeangalia kutoka Marekani anajua kinachoendelea hapa nchini. Mnasitahili pongezi za dhati kabisa.

Naungana na Mh. Mkosamali kwamba ukitaka kupata shida nchi hii deal na vitu vya serikali, TBC1 wanaonesha vipindi vya watoto kana kwamba ni siku ya kawaida.
Vipi kuhusu kibaraka wa TBC dogo Diallo wa StarTV?
 
Transcend

Transcend

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Messages
17,948
Likes
53,706
Points
280
Transcend

Transcend

JF-Expert Member
Joined Jan 2, 2015
17,948 53,706 280
Hivi aljeezira ,cnn , sky na wengine wanasubiria fujo waje kuripoti
 
C

Chilumba M

Member
Joined
Oct 16, 2015
Messages
35
Likes
1
Points
0
C

Chilumba M

Member
Joined Oct 16, 2015
35 1 0
Pocha kama ujafanya tafiti usiongeze!! Yaani unasifia TV ambazo zinaonesha recorded, tune Azam Tv upate habari za instantly na zisizo na upendeleo! Tv zako hizo ni za mlengo wa mgombea fulani
 

Forum statistics

Threads 1,236,398
Members 475,125
Posts 29,256,698