Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Kuanzia kushambulia jamiiforum kwa virus, kuhack simu za mbowe na murema ni dalili tosha ya kwanza mfa maji aikuwa anatapatapa.
Na baada ya nec na tcra povu kuwatoka kwa mikwara eti matokeo yaliyosainiwa vituoni si halali mpk macho ya tume yaseme ndio tulijua hali si hali.
Na mara wametengezeza account fake kujipa matumaini eti kuwa wanaongoza na wao yaonyesha wanajikongoja kwa taabu.
Na baaada ya refa kukataa goli la mkono kwa raia jana kukaata mabox kibao ya kura za mgufuli zilizopigwa na kuzichoma huko geita moshi kimara na wale wanafunzi wakakumbuka kumbe mamvi katoa elimu bure wakayamwaga road....hali ikazidi kuwa mbaya zaidi.
Uvamizi wa tallying centre ya ukawa ni dalili tosha sasa pumzi imekata kabisa na ni mrija tu ndio umebaki.
Sasa basi ndugu yangu mbowe embu tutangzie sie kwa techinc ya nigeria na muyarushe huko bbc cnn al jazeera ili washindwe kabisa kuchakachua
yaaani nasikia rahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Mtu mwenyewe anajiita singidadodoma unategemea nini hapo???

Hajui asili yake huyo , anabahatisha, si kosa lake, kwa taarifa yake kata 25 chadema wamechukua 25 ccm 1, tena ameshinda kwa kura 2 tu pale mjini kati, na huyo anashinda kwa kuwa ndugu zake wanatoka mikoani kuja kujiandikisha Arusha na kupiga kura Arusha ili kulinda zile nyumba zao za urithi maana kwa sheria ya jiji sasa inatakiwa zibadilishwe, kuuza hawataki kujenga magorofa hawataki, wanatka kujibakisha jiji kulinda hayo, safari hii hana nguvu tena TOJO. kabaki ccm mwenyewe.
 
Kuanzia kushambulia jamiiforum kwa virus, kuhack simu za mbowe na murema ni dalili tosha ya kwanza mfa maji aikuwa anatapatapa.
Na baada ya nec na tcra povu kuwatoka kwa mikwara eti matokeo yaliyosainiwa vituoni si halali mpk macho ya tume yaseme ndio tulijua hali si hali.
Na mara wametengezeza account fake kujipa matumaini eti kuwa wanaongoza na wao yaonyesha wanajikongoja kwa taabu.
Na baaada ya refa kukataa goli la mkono kwa raia jana kukaata mabox kibao ya kura za mgufuli zilizopigwa na kuzichoma huko geita moshi kimara na wale wanafunzi wakakumbuka kumbe mamvi katoa elimu bure wakayamwaga road....hali ikazidi kuwa mbaya zaidi.
Uvamizi wa tallying centre ya ukawa ni dalili tosha sasa pumzi imekata kabisa na ni mrija tu ndio umebaki.
Sasa basi ndugu yangu mbowe embu tutangzie sie kwa techinc ya nigeria na muyarushe huko bbc cnn al jazeera ili washindwe kabisa kuchakachua
yaaani nasikia rahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

kwani mbowe ni tume ya uchaguzi mpaka akutangazie matokeo?
 
kama unatwitter tafuta account ya,UCHAGUZI MKUU,,,,matokeo yapo kila vituo wanaupdate,,karibu vituo vyote tangu jana magufuli anaongoza,,,ina maana hali ikiendelea hivi mpaka jioni,tayari jibu litapatikana

Acha kudanganya watu,inatoa matokeo ya uongo,lengo menu cjui nn?
 
Wakati uchaguzi ukianza kufika kileleni leo ni siku nyingine ambayo CCM na Chadema wanauisubiri kwa hamu. Wananchi wanasubiri kuona nani anachukua nchi hii kuiongoza kwa miaka mitano ijayo.
 
kama unatwitter tafuta account ya,UCHAGUZI MKUU,,,,matokeo yapo kila vituo wanaupdate,,karibu vituo vyote tangu jana magufuli anaongoza,,,ina maana hali ikiendelea hivi mpaka jioni,tayari jibu litapatikana

Akaunt feki hiyo mnaingizwa mkenge
 
Kwa wale waliokwisha kupata matokeo, mnaonaje tukitupia hapa ili iwe rahisi kujua nani ni nani katika uchaguzi huu. Huu uzi ni muhimu kwa vile utaruhusu mtu anayetaka kuona mbunge tu na kuendelea na kazi zake.

Mimi hapa bado kuna kata zinarudiwa.....
 
Ahadi ni deni. Saa 3 asubuhi hii jamani niko magogoni sioni ahadi zenu zikitimia. Hivi mlikuwa mnatania tu kumbe au mmebadili ratiba?
 
Kabla ya matokeo kuanza kutangazwa mlikuwa wengi sana lakini kadri joto linavyozidi kupanda mnapotea mmoja mmoja kulikoni?

Hakuna SIMBA bila YANGA.
 
Kwa hiyo unataka tupige kelele? Siai ni watu wa mikakati zaidi. Endeleeni kupiga kelele mkichoka mtanyamaza. Magufuli ushindi ni daima
 
Back
Top Bottom