Matukio muhimu yanayoihusu Portek International Ltd (PKIL.SI) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matukio muhimu yanayoihusu Portek International Ltd (PKIL.SI)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Liganga, Jan 9, 2011.

 1. Liganga

  Liganga Senior Member

  #1
  Jan 9, 2011
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 165
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
 2. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #2
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  hapa we are just adding more questions than answers inabidi tukusanye docs zote ambazo tumeshazipata and all proof we have ili tuunganishe nguvu.. nashauri mods waunganishe hizi topics au mtu aanzishe topic ya Dowans what we have so far.... ili tukusanye evidence zote
   
 3. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #3
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Jan 9, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
 5. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #5
  Jan 9, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
 6. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #6
  Jan 9, 2011
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Nakubali VOR... tuunganishe threads ili information iwe sehemu moja...
   
 7. Kiresua

  Kiresua JF-Expert Member

  #7
  Jan 9, 2011
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 1,202
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Halafu this site about Porteck it has all the information abou their investment and all devpts you can imagine, sasa mziki serch DOWANS uone, wansema "Your search for dowans did not match any companies. Please try refining your search above" unajua akina Ngeleja wanafikiri hiki ni kilw kizazi cha mwalimu, tukiambiwa tuu tunaitikia aaaah, kweliiiiii!!! endeleeni tu!! Thubutuu hiki ni kizazi kinaitwa Digital World! hatudanganyiki!

  Asante mtoa mada kwa kazi nzuri
   
 8. Liganga

  Liganga Senior Member

  #8
  Jan 9, 2011
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 165
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
 9. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #9
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
 10. Not_Yet_Uhuru

  Not_Yet_Uhuru JF-Expert Member

  #10
  Jan 9, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hii Portek ndiyo hiyo iyo inayomiliki TICS pia. Hii inajidhihirisha ktk taarifa zao za Contracts walizofanya kwa Africa, na wamezitoa ktk taarifa zao za mwaka 2007. (fuatilia Portek Development, 2007 ktk link iliyo juu.)
  Ndio hao hao walio na Dowans?...hatari sana hii.!

  Hivyo mkono ule ule unaolitafuna taifa unazunguka kwa wale wale. TICS na Dowans ambayo ni mizigo mikuu kwa Taifa inadhihirisha wazi kuwa hizi zote zinatokana na Serikali ya JK yenyewe, naye anajua kila kitu.

  Ila kwa kile kinachoonekana kama usanii mwingine alousema Sitta, ktk list yote ya Portek na Development zao, hakuna popote wameitaja Dowans kama walishawahi kuijua au hata kuwa wanamiliki. Na unapo-search Dowans ktk list zao inakupa 'no results'
  Tumeliwa...hii ni miradi hewa na ya kisanii, iliyo ktk mabegi ya mafisadi wa hapa hapa bongo. Inaonekana, Dowans haihusiani na Portek hata tone!
  Inauma sana kuyafikiria haya.
   
 11. Not_Yet_Uhuru

  Not_Yet_Uhuru JF-Expert Member

  #11
  Jan 9, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hii inadhihirisha kuwa RA ndiye mmiliki mwenyewe maana ktk taarifa ya Rai iliyopita, RA alipokuwa anakana kuwa mmiliki wa Richmond, alisema yeye anahusika ktk kuleta wawekezaji. Na ndio kasema, hivi majuzi alikuwa nchi za Asia, ikiwa ni pamoja Singapore hadi Dubai ktk harakati za kutafuta wawekezaji. Hii bila shaka ilikuwa ndio route yake ktk kuattach jina la Dowani na hayo mashirika tunayoambiwa kama Portek na Dowans S.A.

  Swali ni kwamba!
  Kama hadi majuzi Dowans ilikuwa mmiliki hafahamiki, mbona wamiliki wamepatikana baada ya yeye kurudi ktk safari zake? Tunaomba majibu!! Ngeleja haoni picha, usanii mtupu.
   
 12. Liganga

  Liganga Senior Member

  #12
  Jan 9, 2011
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 165
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  There is no individual or individuals within the government of the United Republic of Tanzania

  willing to lift the veil of incorporation sorrounding Dowans Tanzania Ltd and Dowans Holdings S.A

  Lets not waste time into these company documents as the legal system was purposely designed

  to allow for true shareholders to hide behind agents and never appear in MemArts. However, the

  money trail never decieves, no matter how complex the transaction web is arranged.

  Follow the money trail and you will easily identify who are the true owners of the so called "Dowans"

  Lets start with :

  1. Who paid the turbine purchase amount?

  2. What bank executed this transaction?

  3. Who was the consignee?

  4. Who paid for freight and oversee the delivery?

  5. Who collected cheques from TANESCO/Treasury?

  6. Which bank were these cheques being deposited?

  7. Who are the major suppliers to DTL/ Dowans Holdings S.A turbines at Ubungo?

  8. What else was DTL/Dowans Holding S.A doing with the money other than paying suppliers?

  9. Who are in the schedule of bank signatories : Category A - D?

  10. Who are the auditors?

  11. Has the company ever filled financial statements with the Registrar?

  12. Has any of the companies ever paid dividends?

  13. Who received these dividend payments?

  14. Are there loans to directors or offshore companies?

  This set of questions would surely open the pandora box.
   
Loading...