Matukio mfululizo ya kuugua kwa moto kwa sekondari za ndugu zetu Waislamu, kipi kipo nyuma ya panzia?

WINGER_TEREZA

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
242
450
Ndugu wana jukwaa,

Week kama mbili zilizopita kulilipotiwa kuungua kwa mabweni ya shule ya waislam pale Ilala (Jina la Shule silikumbuki), Jana kumeripotiwa kuungua kwa bweni la shule ya Waislamu ya Kinondoni na leo hii tena kumeripotiwa kutokea kwa tukio hilo hilo kwa bweni la shule ya Waislamu ya Mivumoni iliyopo pale msikitini wa Mtambani - Kinondoni.

Kuna mengi ya kujiuliza juu ya kuendelea kwa matukio mfululizo ya aina moja hasa kwa ndugu zetu hawa Waislamu, vipi haya matukio yamepagwa?, nani anaratibu na kufadhili huu mpango muovu?, na kwa lengo gani?, Je haya matukio yanauhusiano wowote na kushikiliwa kwa katibu wa shura ya maimamu nchini (Shekh Ponda)?

Maswali ni mengi kuliko majibu na sidhani kama jeshi letu ' makini ' la polisi linaweza kutupatia majibu ya kweli na kwa wakati sahihi juu la huu mgagasuko unaoendelea kwa hawa ndugu zetu!.
 
Wala haina haja ya kupiga takbeer mkuu, muda ukifika kila mmoja atavuna alichokipanda.

Hawa jamaa zetu wako bize kupanda chuki dhidi ya waislam kwa vile tu dola iko upande wao ila ipo siku mambo yatabadilika na watashangaa na kutokuamini watakachokiona.
Dola IPI?
Mbona kule juu namuon Khasim majaliwa. Mama Samoa n Dr She in? Na bashru Ali

Au hawa wote walishspakwa mafuta ya kitimoto?
 
Wana athari gani katika imani zao?

Afadhali mjomba Magu tunamuona akihutubia kanisani au akiwa na tones za kikanisa lakini hao ulowataja vipi?
Basi mkuu nakupata. Na wao wanamuogopa jiwe.
Ile ule ujasiri w kipindi cha JK uliishia wapi?
Watu tuingie kitaa bwana tukinukishe
 
Basi mkuu nakupata. Na wao wanamuogopa jiwe.
Ile ule ujasiri w kipindi cha JK uliishia wapi?
Watu tuingie kitaa bwana tukinukishe
Uislam sio dini ya jazba wala mihemko (ingawa tunao waislam wenye jazba na mihemko).

Hilo unalolifikiria wewe muda ukifika litatokea tu bila shuruti maana binadam akichoka anakuwa zaidi ya mnyama ila kwa sasa nadhani bado waislam hawajachoka au wengi hawajausoma mchezo.
 
Kila nchi waislam na wakristo hadi kwa trump waislam migogoro hadi India no hao hao Daa hata sielewi kuna nin wanakitafuta.
 
Tangu lini kuweripotiwa gaidi wa Kikristo! Hiyo siyo hulka ya wakristo! Ache kubwabwacha!
Ni kutokana na ujenzi duni hasa ktk wiring wa nyumba za Hawa ndugu zetu, uswahili na ujuaji mwingi Sana...badala ya kuitumia wataalamu, wao wanatumia vishoka inategemea Nini Sasa!?
Kwani tangia lini wakristo wakaitwa magaidi?
 
Ndugu wana jukwaa, kwanza niombe mods wasiunganishe huu uzi za hizo uzi vinazotoa taarifa kuhusu hizo habari za moto maana huu sio uzi wa taarifa bali ni kutaka leta maoni kuhusu haya matukio.

Week kama mbili zilizopita kulilipotiwa kuungua kwa mabweni ya shule ya waislam pale Ilala (Jina la Shule silikumbuki), Jana kumeripotiwa kuungua kwa bweni la shule ya Waislamu ya Kinondoni na leo hii tena kumeripotiwa kutokea kwa tukio hilo hilo kwa bweni la shule ya Waislamu ya Mivumoni iliyopo pale msikitini wa Mtambani - Kinondoni.

Kuna mengi ya kujiuliza juu ya kuendelea kwa matukio mfululizo ya aina moja hasa kwa ndugu zetu hawa Waislamu, vipi haya matukio yamepagwa?, nani anaratibu na kufadhili huu mpango muovu?, na kwa lengo gani?, Je haya matukio yanauhusiano wowote na kushikiliwa kwa katibu wa shura ya maimamu nchini (Shekh Ponda)?, au yana rusa ya ugaidi?. Maswali ni mengi na sidhani kama jeshi letu ' makini ' la polisi linaweza kutupatia majibu ya kweli na kkwa wakati sahii juu la huu mgagasuko unaoendelea kwa hawa ndugu zetu
Nakuhakikishia hapa kondoo wa bwana watakushukia vikali na hakuna atakaekujibu law hoja
 
Back
Top Bottom