Matukio mengi yanatokana na usaliti wa vyombo vya ulinzi,vimekuwa vikitumika kwa maslai ya chama au watu wachache ivyo vyombo ivyo vinakosa nguvu ya kufanya kazi kwa uaminifu,hasa serikali ya awamu ya nne imekuwa ni kigezo cha kunyima nguvu kwa vyombo hivyo.lakini ndani ya vyombo hivyo kuna watendaji wazuri na waaminifu,lakini wamekuwa wakichoshwa na viongozi wachache kwa kujali maslai yao na sio ya taifa.watendaji hao wachache wamekuwa wakifanya kazi kwa vitisho ivyo wanatakiwa wapate sapoti kubwa. Nawasilisha