Matukio mengi yanatokana na usaliti wa vyombo vya ulinzi na usalama,kutotimiza wajibu wao

Fagason

Senior Member
Jun 14, 2013
175
18
Matukio mengi yanatokana na usaliti wa vyombo vya ulinzi,vimekuwa vikitumika kwa maslai ya chama au watu wachache ivyo vyombo ivyo vinakosa nguvu ya kufanya kazi kwa uaminifu,hasa serikali ya awamu ya nne imekuwa ni kigezo cha kunyima nguvu kwa vyombo hivyo.lakini ndani ya vyombo hivyo kuna watendaji wazuri na waaminifu,lakini wamekuwa wakichoshwa na viongozi wachache kwa kujali maslai yao na sio ya taifa.watendaji hao wachache wamekuwa wakifanya kazi kwa vitisho ivyo wanatakiwa wapate sapoti kubwa. Nawasilisha
 
wananchi walishutumiwa sana kusaliti upinzani.sasa ni zamu ya vyombo vya dola baada ya wananchi kuamka.
No longer at easy wataelewa tu
 
Back
Top Bottom