Matukio mbali mbali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matukio mbali mbali

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Mar 27, 2010.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Mar 27, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  <table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"> <tbody><tr> <td height="1">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td align="left"><table bgcolor="#dddddd" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" height="23" width="100%"> <tbody><tr> <td width="10">

  </td> <td width="606"> LORI NUSURA LIUWE TENA!

  </td> <td align="right" width="139">photos</td> <td align="right" width="12">
  </td> </tr> </tbody></table></td> </tr> <tr> <td bgcolor="#999999">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="shortnews" align="left" bgcolor="#ffffff" valign="top">
  Lori lingine, T 609 AUX, nususra litoe roho za watu wengine mchana wa leo baada ya kuacha barabara na kuangukia bondeni, pembezoni mwa Barabara ya Kilwa, eneo BP Kurasini, jirani kabisa na daraja kubwa linalovuka leri zindazo bandarini. Kwa mujibu wa mashuhuda, lori hilo ambalo lilikuwa limebeba mchanga, breki zake zilifeli hivyo dereva kuamua kuliingiza bondeni ili kuepusha maafa makubwa ambayo yangetokea iwapo angegonga msururu wa magari ya mbele yake, hasa ukizingatia kuwa eneo hilo huwa na foleni ndefu na kuna mteremko mkali kuelekea Kurasini ukiwa unatokea Gerezani. Dereva na abiria aliyekuwa kwenye ngoma hiyo wote walitoka bila majeraha yoyote...!!

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Lori likiwa chali bondeni

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  ...wapita njia wakishangaa jinsi Lori hilo lilivyo acha njia na kuangukia bondeni na dereva kutoka salama

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  ...jamaa aliyekuwa na dereva na kuibuka salama akielezea ishu ilivyokuwa

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  ...eneo la tukio linavyoonekana kwa mbali...kushoto ndiko kwenye daraja kubwa ambalo chini yake hupita treni

  </td> </tr> <tr> <td align="right" bgcolor="#f9f9f9" valign="top"><table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"> <tbody><tr> <td class="news1" align="left" width="61%">
  </td> <td class="news1" align="right" width="39%">
  </td> </tr> <tr> <td colspan="2" align="left" bgcolor="#dba67c">[​IMG]</td> </tr> </tbody></table></td> </tr> <tr> <td height="1">[​IMG]</td> </tr> </tbody></table> <object classid="clsid<img src=" images="" smilies="" biggrin.gif="" alt="" title="Big Grin" smilieid="3" class="inlineimg" border="0">

  <center> <embed src="http://www.globalpublisherstz.com/banners/zain%205.swf" quality="high" pluginspage="http://www.macromedia.com/go/getflashplayer" type="application/x-shockwave-flash" height="117" width="553"> </center> </object><table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"> <tbody><tr> <td height="1">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td align="left"><table bgcolor="#dddddd" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" height="23" width="100%"> <tbody><tr> <td width="10">

  </td> <td width="606"> ZAIN NA WWF WAAZIMISHA SIKU YA MAZINGIRA

  </td> <td align="right" width="139">photos</td> <td align="right" width="12">
  </td> </tr> </tbody></table></td> </tr> <tr> <td bgcolor="#999999">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="shortnews" align="left" bgcolor="#ffffff" valign="top">Kampuni ya simu za mkononi ya Zain katika kuazimisha siku ya mazingira inayofanyika ulimwenguni Machi 26, kila mwaka, leo iliungana na Shirika la Kutunza Mazingira la WWF, katika kampeni ya kutunza na kuhifadhi mazingira kwa kupanda miti pembezoni mwa Barabara ya Alli Hassan Mwinyi na Sam Nujoma jijini Dar es Salaam.
  Katika zoezi hilo, Mkuu wa Wilaya ya Kindondoni, Jordan Rungimba na Mkurugenzi wa Kampuni ya Zain Tanzania, Khaled Muhtadi walikuwa mstari wa mbele.
  Mkuu huyo wa wilaya, alitoa rai kwa makampuni mengine kujitokeza kupanda miti ili kuhidhi mazingira.
  Zain ikishirikiaana na WWF shirika ambalo linaongoza kwa kuhifadhi mazingira duniani, wamesema kuwa wanafanya hivyo kutokana na hali ya hewa hivi sasa kutotabirika.

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Inamuonyesha Mkurugenzi wa Zain Tanzania, Khaled Muhtadi akipanda mti

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Mkurungezi wa Zain Tanzania akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Jordan Rugimbana aliyeshiriki katika zoezi hilo

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Mmoja wa wafanyakazi wa WWF akipanda mti huku wafanyakazi wa Zain wakishuhudia

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Wafanyakazi wa Zain pamoja na wa WWF wakipanda mti kwa pamoja

  </td> </tr> <tr> <td align="right" bgcolor="#f9f9f9" valign="top"><table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"> <tbody><tr> <td class="news1" align="left" width="61%">
  </td> <td class="news1" align="right" width="39%">
  </td> </tr> <tr> <td colspan="2" align="left" bgcolor="#dba67c">[​IMG]</td> </tr> </tbody></table></td> </tr> <tr> <td height="1">[​IMG]</td> </tr> </tbody></table> <table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"> <tbody><tr> <td height="1">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td align="left"><table bgcolor="#dddddd" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" height="23" width="100%"> <tbody><tr> <td width="10">

  </td> <td width="606"> DSTV KUONESHA PICHA ZAKE KAMA ULAYA!

  </td> <td align="right" width="139">photos</td> <td align="right" width="12">
  </td> </tr> </tbody></table></td> </tr> <tr> <td bgcolor="#999999">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="shortnews" align="left" bgcolor="#ffffff" valign="top">
  </td> </tr> <tr> <td align="right" bgcolor="#f9f9f9" valign="top"><table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"> <tbody><tr> <td class="news1" align="left" width="61%">
  </td> <td class="news1" align="right" width="39%">
  </td> </tr> <tr> <td colspan="2" align="left" bgcolor="#dba67c">[​IMG]</td> </tr> </tbody></table></td> </tr> <tr> <td height="1">[​IMG]</td> </tr> </tbody></table> <table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"> <tbody><tr> <td height="1">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td align="left"><table bgcolor="#dddddd" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" height="23" width="100%"> <tbody><tr> <td width="10">

  </td> <td width="606"> Vatican: Komeni kumchafulia jina Papa

  </td> <td align="right" width="139">Habari mbalimbali</td> <td align="right" width="12">
  </td> </tr> </tbody></table></td> </tr> <tr> <td bgcolor="#999999">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="shortnews" align="left" bgcolor="#ffffff" valign="top">
  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Kanisa katoliki limeshutumu vikali vyombo vya habari kwa namna vimeripoti visa vya dhulma ya mapenzi dhidi ya watoto wadogo vilivyoendeshwa na baadhi ya makasisi wa kanisa hilo...
  </td> </tr> <tr> <td align="right" bgcolor="#f9f9f9" valign="top"><table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"> <tbody><tr> <td class="news1" align="left" width="61%">
  </td> <td class="news1" align="right" width="39%">
  </td> </tr> <tr> <td colspan="2" align="left" bgcolor="#dba67c">[​IMG]</td> </tr> </tbody></table></td> </tr> <tr> <td height="1">[​IMG]</td> </tr> </tbody></table> <table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"> <tbody><tr> <td height="1">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td align="left"><table bgcolor="#dddddd" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" height="23" width="100%"> <tbody><tr> <td width="10">

  </td> <td width="606"> Mrema ampeleka Sitta kortini

  </td> <td align="right" width="139">Habari mbalimbali</td> <td align="right" width="12">
  </td> </tr> </tbody></table></td> </tr> <tr> <td bgcolor="#999999">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="shortnews" align="left" bgcolor="#ffffff" valign="top">
  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Augustine Mrena na Samweli Sitta

  MWENYEKITI wa Chama cha Tanzania Labour (TLP) Augustine Mrema, amemfungulia rasmi kesi ya madai Spika wa Bunge, Samuel Sitta na kumtaka amlipe fidia ya Sh bilioni moja kwa kumkashifu na kumdhalilisha kwa makusudi...
  </td> </tr> <tr> <td align="right" bgcolor="#f9f9f9" valign="top"><table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"> <tbody><tr> <td class="news1" align="left" width="61%">
  </td> <td class="news1" align="right" width="39%">
  </td> </tr> <tr> <td colspan="2" align="left" bgcolor="#dba67c">[​IMG]</td> </tr> </tbody></table></td> </tr> <tr> <td height="1">[​IMG]</td> </tr> </tbody></table> <table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"><tbody><tr> <td height="1">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td align="left"><table bgcolor="#dddddd" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" height="23" width="100%"> <tbody><tr> <td width="10">

  </td> <td width="606"> MWAMVITA APAGAWA NA NEWSROOM YA GLOBAL!!

  </td> <td align="right" width="139">photos</td> <td align="right" width="12">
  </td> </tr> </tbody></table></td> </tr> <tr> <td bgcolor="#999999">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="shortnews" align="left" bgcolor="#ffffff" valign="top">
  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Mtaalamu wa Mawasiliano wa Vodacom, Matina Nkurlu, akiongoza msafara wa kuingia newsroom ya Global, akifuatiwa na Meneja Mkuu wa Global pamoja na Bi. Mwamvita Makamba ambaye hakusita kuelezea hisia zake kuhusu ukubwa wa newsroom ya Global Publishers akiwa anaingia mara ya kwanza!

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  ..ilikuwa ni kama mshangao flani kwa Bi. Makamba..!!!

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  ...sehemu ya muonekano wa newsroom ya Global Publishers

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  ...kulikuwa na Bango maalum lililowekwa kwa ajili ya ujio wa timu ya Vodacom ambalo B. Mwamvita alipewa kama zawadi yake ya ukumbusho...

  <object height="364" width="445">

  <embed src="http://www.youtube.com/v/X9WY3twKKYw&hl=en_US&fs=1&rel=0&color1=0x402061&color2=0x9461ca&border=1" type="application/x-shockwave-flash" allowscriptaccess="always" allowfullscreen="true" height="364" width="445"></object>
  Hiki ni kipande cha video ya hotuba fupi ya Mafuru kwa wanahabari wa Global Publishers Ltd

  </td></tr></tbody></table>
   
 2. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #2
  Mar 27, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Mkuu una undugu na shigongo?
   
 3. IronBroom

  IronBroom JF-Expert Member

  #3
  Mar 27, 2010
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 524
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ndiba,gonga msumari kichwani.
   
 4. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #4
  Mar 29, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  Niupate wapi huo Udugu na shingogo? au wewe Mkuu unao udugu na Shingongo?
   
 5. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #5
  Mar 29, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  The thing itself speaks (Res ipsa loquitur). Haihitaji kujieleza sana kwa hili.

  [/quote]
   
Loading...