Zanzibar 2020 MATUKIO KATIKA PICHA NA VIDEO: Yaliyojiri visiwani Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu 2020

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,000
9,862

Video ikionyesha wananchi wakiwarushia mawe askari visiwani Zanzibar




Video ikiwaonyesha askari wakimshushia kipigo Mwananchi kwa madai ya kuwarushia maneno








 
Mtoa post ni muongo, huyo jamaa kawatukana askari matusi kama yote, na walikuwa kwenye msafara wakamvuta pembeni.
Ndg Hata Haujui Kutetea Uongo wako. Je, aliyesimama na black clothing na ameelekeza mtutu sehemu, huyu je tupe ukweli tena. Inaonekana kuna sintofahamu sehemu hiyo, sema ukweli ambao utakuwa ni uongo tu kwa mjibu wa postst hii.
 
Ni ujinga na upumbafu kuwatukana wanajeshi wanaokulinda, waliwalinda wazazi wako wakati wanakutafuta kutoka kwenye maungo yao.

Hao jeshi wanasimamia sheria tuliyojitungia(kwa kutumia vyombo vyetu kadiri ya katiba), kwa nini uwatukane sasa. Hao jeshi wanatembea na silaha za moto.

Maalim na Tundu Antisipas Lissu msiwadanganye watoto wetu, tunaumia sisi wazazi na ndugu. Lissu watoto wake amewaacha Ulaya, Maalim sijui wa kwake wako wapi.
 
Bado pia sioni kama askari wana mamlaka ya kuchukua sheria mkononi, wangemfungulia mashtaka kwa kosa hili kwa kulingana na vifungu vya sheria
Ni kweli, mimi nilichopinga ni sababu ya mtoa post kusema eti kosa ni kuvaa shati la ACT

Hiyo video imekatwa kwa makusudi, angalia full video chini uone katika umati wote huo wamemchukua yeye tu

 
Ni ujinga na upumbafu kuwatukana wanajeshi wanaokulinda,waliwalinda wazazi wako wakati wanakutafuta kutoka kwenye maungo yao. Hao jeshi wanasimamia sheria tuliyojitungia(kwa kutumia vyombo vyetu kadiri ya katiba),kwa nini uwatukane sasa. Hao jeshi,wanatembea na silaha za moto. Maalim na TAL msiwadanganye watoto wetu,tunaumia sisi wazazi na ndugu. Lissu watoto wake amewaacha ulaya,maalim sijui wa kwake wako wapi.
Halafu cha kushangaza huo umati wote wanamuangalia tu, hakuna anayemsaidia tena. Alijua sijui wenzake wataingilia.
 
Polisi wanaruhusiwa kugawa adhabu ?, yaani kisheria tusi moja ni kipigo cha kiwango gani ?
Siungi mkono huyo kupigwa, ila nilikuwa namuweka sawa mtoa post kuwa sababu sio kuvaa shati la ACT bali sababu ni alitukana. Na ndio maana unaona kwenye huo umati wote wamemchomoa yeye tu, huku wenzake wakibakia kuangalia tu.
Angalia video yote hapa uone kisa kilipoanzia.

 
Back
Top Bottom