Zanzibar 2020 MATUKIO KATIKA PICHA NA VIDEO: Yaliyojiri visiwani Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu 2020

Ni ujinga na upumbafu kuwatukana wanajeshi wanaokulinda, waliwalinda wazazi wako wakati wanakutafuta kutoka kwenye maungo yao. Hao jeshi wanasimamia sheria tuliyojitungia(kwa kutumia vyombo vyetu kadiri ya katiba), kwa nini uwatukane sasa. Hao jeshi wanatembea na silaha za moto. Maalim na TAL msiwadanganye watoto wetu, tunaumia sisi wazazi na ndugu. Lissu watoto wake amewaacha Ulaya, Maalim sijui wa kwake wako wapi.
Mpakani watu wanauliwa na magaidi tokea Msumbiji, wanajeshi wapo mitaani wanapambana na wapinzani wa CCM.
 
Maalim Seif azidi kusisitiza kuwa sasa ni "JINO kwa JINO"
Maalim na TAL damu ya watoto wetu ikimwagika watahusika. TAL wanae wanakula maisha ulaya,huku anacheza na akili za watoto wetu. Maalim wanae sijui wako wapi,sidhani kama wapo zenji. Zikinuka maalim atakuja maisha bara,serena hotel.. Hivi ni lazima maalim awe Rais wa Zanzibar?? Eti lazima kulinda ushindi!! Kwani kura imepigwa?? Asicheze na akili za watu,amani italindwa kwa gharama yoyote,asilete ushenzi
 
"Ukombozi hauwezi kuletwa kwa kunywa kahawa lazima Damu imwagike" Sheikh Ponda Issa Ponda
 
Ni kweli, mimi nilichopinga ni sababu ya mtoa post kusema eti kosa ni kuvaa shati la ACT
Hiyo video imekatwa kwa makusudi, angalia full video chini uone katika umati wote huo wamemchukua yeye tu
View attachment 1612684

..hawakutakiwa kumpiga.

..kwanza, hakuwa-resist wakati wanamchomoa.

..pili, haonekani kuwa na silaha yoyote ile.

..tatu, amekaa chini sasa kwanini apigwe huku amekaa chini?
 
Back
Top Bottom