Mkare
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 504
- 78
ahh chalii naijua toka ipo blok F
WALIKUWA WANASEMA CHAKULAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA bt m nt sure
Kweli kabisa Rose, tena alikuwa kwenye kampani yake kuna mkaka mwengine nae mwembamba mwembamba muarabu (wote walimaliza PSPA 2005) pia walikuwa wanasema pia ni chakula. Am not sure pia, though kundi lao wavulana walikuwa ni 2 tu kama sikosei wengine wote ni wasichana akiwemo yule bosi wa Vodacom Foundation.
Mi nahisi anajipenda tu na pia anaweza kuwa kidogo hormones za kike zimeongezeka mwilini ndo maana ana kama vijinyonyo... Hy jeans sio issue wajameni si unajua vimodal tena...lol